Wikipedia:Mwongozo (Viungo vya Wikipedia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza kidogo
nyongeza kidogo
Mstari 7:
====Viungo vya buluu====
Makala juu ya mji wa Misri inaweza kuonekana hivyo:<br />
::::'''Giza''' ([[Kar.]]: الجيزة ''al-gīza'') ni mji wa kaskazini ya [[Misri]] unaopakana na mji mkuu [[Kairo]]. Inajulikana hasa kama mahali pa [[piramidi za Giza|piramidi]].
 
Maneno yenye rangi ya buluu yanaunga makala hii na makala mengine kuhusu [[Kiarabu|Kar. = Kiarabu]], [[Misri]], [[Kairo]] na [[piramidi za Giza|piramidi]]. Ukibofya neno la buluu unapelekwa kwenda makala hizi.