Wikipedia:Mwongozo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
interwiki, jamii, na mengineyo meengi...
tanbihi ya muda, hadi mwongozo utakapoandikwa upya
Mstari 13:
Kuna viungo kuelekea katika kurasa za "sanduku la mchanga" ambapo unaweza kujipatia uzoefu kile unachojifunza. Hebu jaribu vitu tofauti na uchezecheze! Hakuna mtu atakayechukizwa endapo utavuruga na jaribio katika maeneo ya vitendo.
 
<p style="font-size:85%">''Ilani: Mwongozo umetoa maelezo yanayofaa hasa kwa wale wanaotumia umbo la kurasa la MonoBook. Tangu Septemba 2010 umbo la kurasa kama ilivyoonekanainavyoonekana kwa watumizi wasioingia akaunti ni Vector. Mwongozo bado haujaandikwa upya. Wale waliozingiawalioingia akaunti zao wanaweza kubadilisha umbo la kurasa kwenye [[Maalum:Mapendekezo|mapendekezo yao]]. Umbo nyingine zinaweka viungo mahali tofauti kwenye ukurasa, na kama ni hivyo maelezo ya kupata viungo hayataeleweka moja kwa moja''.''</p>
 
<noinclude>