Silla : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: fa:دودمان سیلا
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:History of Korea-576.png|thumb|right|250px|Historia ya Korea]]
'''Silla''' (57 KK – 935 BK) (Tamka ɕilla) ilikuwa moja kati ya [[Falme Tatu za Korea]], na moja kati ya nasaba iliokaa kwa muda mrefu sana katika historia ya Asia. Japokuwa ilianzishwa na Mfalme [[Bak Hyeokgeose wa Silla|Park Hyeokgeose]], ambaye anafahamika kama mwanzilishi wa famili ya Kikorea yenye jina la Park (박, 朴). Ukoo huu ulishikiria madaraka kwa takriban miaka yake 992 katika historia. Imeanza kama mtemi wa falme ndogo huko [[Samhan]], pindi ilipoungana na [[China]], Silla hatimaye ikaishinda falme mbili, [[Baekje]] mnamo 660 na [[Goguryeo]] mnamo 668. Baada ya hapo, ikawa [[Muungano wa Silla]] au [[Mungano wa Silla|Silla ya Baadaye]], kama jinsi inavyotajwa mara nyingi kwa kuchukua sehemu ya [[Peninsula ya Korea]], wakati sehemu ya kaskazini imeungana kama [[Balhae]], nchi iliokuja kurithiwa na [[Goguryeo]]. Baada ya karibuni miaka 1000 ya utawala, Silla ikajivua kidogo na kuwa [[Falme Tatu za Baadaye]], na kukabidhi mamlaka yake kwa mrithi wake wa nasaba ya [[Goryeo]] mnamo 935.<ref>http://www.shilla.or.kr/shilla_culture/ Retrieved on 2008-03-08</ref>
[[File:统一新罗九州.jpg|left|thumb|200px|[[天汉]]年间东北亚局势]]
 
==Marejeo==