Wikipedia:Mwongozo (Muundo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
nyongeza kidogo
Mstari 42:
 
==Vichwa na vichwa vidogo==
Vichwa na vichwa vidogo vya ndani ni njia ya haraka kuboresha mpangilio wa makala. Kama maandishi ni marefu kiasi ni afadhali kuingiza vichwa hivi. Ni muhimu kuwa na muundo 1 kwa makala zote maana hii inawasaidia wasomaji wasipate kuzoea uso mbalimbali ndani ya makala zetu.
 
:'''Tahadhari 1:''' Usiweke kichwa juu ya makala yako (yaani mwanzoni wa maandishi yote) kwa sababu wikipedia inafanya hii pia!
:'''Tahadhari 2:''' Usiweke vichwa nje ya utaratibu huu: usitumie mstari yenye '''HERUFI KUBWA''' au '''mstari mwenye maandishi koza''' kama vichwa vya ndani.
 
Vichwa huanzishwa kwa njia hiyo (hakuna alama kwa kazi hii kwenye menyu)