Wikipedia:Mwongozo (Muundo) : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
(nyongeza kidogo)
No edit summary
Kupanga umbo la maandishi ni tofauti kidogo na kuandika kwenye kichakata matini (programu ya kuandika) kama vile Word, Writer na kadhalika.
 
==Dirisha la hariri na WYSIWYG==
Unaandika katika dirisha la uhariri. Humo huoni umbo la maandishi jinsi inavyotokea baadaye. Maana hapa hakuna kile kinachoitwa "WYSIWYG" ("What You See Is What You Get ''unachoona ni sawa kile kinachotokea''").