Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 13:
 
:Mzee wangu, nimejaribu kutazama mahali pa kupigia kura sijapaona. Nilivyoelewa mimi, unawataka wale wenye madaraka yao waje kukubali kutolewa usimamizi, ama sivyo? Basi hata simwoni wa kuja kusema kama anataka aondolewe usimamizi! Kwanza inataka [http://toolserver.org/~luxo/contributions/contributions.php?user=&blocks=true&lang= utazame global contributions] kwa mmoja-mmoja. Ukiona ya kwamba hakuna michango yao kwa muda mrefu, basi tupige kura sisi tu na kina Meta watakubali kwa msukumo wetu. Nimeona yakitokea kwenye [[Wikipedia ya Kislovakia]] - kulikuwa na wakabidhi wengi, halafu wakaanza kupururushwa kama maembe mtini. Unaonaje?--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 15:03, 29 Septemba 2010 (UTC)
 
::Pole, ukigonga hapa [[Wikipedia:Wakabidhi#Kuondoa_wakabidhi_ambao_hawakushiriki_tena_tangu_miezi_kumi_au_zaidi]] unatakiwa kufika kwenye ukurasa wa wikipedia:wakabidhi halafu unaona orodha ya mapendekezo. Si wale wenyewe wanaotakiwa kusema hapa (wangeweza, lakini, kama wapo) lakini wanawikipedia kwa jumla wanaweza kupiga kura hapa kwa kuongeza sahihi kwa "nakubali" au "sikubali" kwa kila jina. Naona kama watu 3 wamekubali bila upinzani inatosha. Baadaye mmoja wetu anapeleka matokeo huko [[meta:Steward_requests/Permissions#Removal_of_access|Meta]] na wale wanachukua hatua. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 16:05, 29 Septemba 2010 (UTC)
Return to the project page "Wakabidhi".