Majadiliano ya Wikipedia:Wakabidhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Kuhusu wakabidhdhi wa kale
Mstari 19:
Nimeorodhesha majina ya hao wasioonekana kabisa tena tangu muda mrefu. Ninajua ya kwamba wengine kati yao bado ni marafiki wa wikipedia; kwa mfano Marcos alijibu nilipomwuliza mwaka uliopita kuhusu historia ya wikipedia yetu ingawa hajashiriki menginevyo kwa muda mrefu zaidi. Wengine bado wako katika wikipedia nyingine kama en:wiki. Lakini naona mkabidhi anahitaji kupatikana nisipokosei hawako tena.
 
Natazama pia mbele kama tunataka kumwongeza mtu kama mkabidhi kuna ugumu ya kwamba katika wikipedia yetu ndogo kuna orodha ya wakabidhi wengi kidogo tayari. Kwa hiyo sioni faida kuendelea na hao wote. Hata kama watu wamesaidia sana wakati uliopita tunahitaji kutazama hali halisi jinsi ilivyo na kutazama mbele. Wote wamearifiwa katika kurasa zao nimeona pia ya kwamba Baba Tabita aliwatembela kwenye kurasa zao huko en:wiki au meta na kuwaarifu tena .
 
'''Kama ni swali la kusubiri - kwa muda gani?''' Wikipedia nyingine nilivyoona wanasema tu "6 months of inactivity" halafu wanafuta. Binafsi naona tusubiri mwaka 1 lakini si zaidi. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 15:54, 2 Oktoba 2010 (UTC)
Return to the project page "Wakabidhi".