Michael Brown : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|80px '''Michael Stuart Brown''' (amezaliwa 13 Aprili, 1941) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza [...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 17:53, 2 Oktoba 2010

Michael Stuart Brown (amezaliwa 13 Aprili, 1941) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza kolesteroli. Mwaka wa 1985, pamoja na Joseph Goldstein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Brown kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.