Chama cha kisiasa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: pnb:سیاسی پارٹی
Alama
Mstari 1:
'''Chama cha kisiasa''' ni maungano ya watu wanaotafuta mamlaka katika [[dola]] na hasa [[serikali]] kwa kusudi la kutekeleza shabaha za kisiasa au kifalsafa pamoja na faida kwa ajili vikundi fulani faida zao za binafsi.
[[File:Grüne- Verdi Südtirol.gif|thumb|Alama cha ''Chama cha Mazingira''/''"Chama cha Kijani"'' cha Tirolo Kusini/Italia, kwa lugha tatu: Kitaliani, Kijerumani na Kiladini]]
 
Vyama mara nyingi hutamka mwelekeo au itikadi fulani inayoandikwa katika programu yao.