Christopher Mtikila : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d {{defaultsort}}, +jamii
Mstari 1:
[[Image:Mtikila PNG.PNG|right|thumb|300px|Christopher Mtikila akiwahutubia wasikilizaji wake]]
 
'''Mchungaji Christopher Mtikila''' ni kiongozi wa chama cha upinzania [[Tanzania]] cha [[Democratic Party]] (DP).
 
Mtikila alizaliwa [[Iringa]], kusini mwa Tanzania, mwaka [[1950]]. Pamoja na shughuli za siasa, Mchungaji Mtikila ni mwanzilishi na mkuu wa kanisa la kipentekoste la [[Full Salvation Church]]. Mchungaji Mtikila anajihusisha pia na harakati za haki za binadamu kwa kupitia kitengo cha haki za binadamu cha kanisa hilo kiitwacho [[Liberty Desk]]. Mwanzoni mwa miaka ya 90, mchungaji Mtikila alijipatia umaarufu mkubwa katika siasa za Tanzania kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuongea, upinzani wake dhidi ya muundo wa muungano kati ya [[Tanganyika]] na [[Zanzibar]], madai yake kuhusu uhujumu wa uchumi unaofanywa na wahindi (ambao anawaita Magabacholi), na kesi mbalimbali za kikatiba alizokuwa akifungua katika mahakama za Tanzania.
 
Kwa muda mrefu chama chake cha DP hakikuweza kupata usajili wa kudumu kutokana na kukataa kwake kutambua Zanzibar. Alikuwa akisisitiza kuwa chama chake ni cha Tanganyika na sio Tanzania. Hata hivyo Mtikila amebadili msimamo wake katika miaka ya karibuni kwa kukubali kutafuta wanachama toka Zanzibar (kama sheria ya uchaguzi inayotaka) na hivyo chama chake kuweza kupata usajili wa kudumu. Mtikila alikuwa ni kati ya wagombea 10 wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2005. Katika uchaguzi huo alipata kura asilimia 0.27.
Line 13 ⟶ 14:
*[http://www.elaw.org/resources/text.asp?id=167 Rev.Christopher Mtikila Vs. The Attorney General, Civil Case No. 5 of 1993, High Court of Tanzania]
 
{{DEFAULTSORT:Mtikila, Christopher}}
[[Category:Wanasiasa wa Tanzania|Mtikila]]
[[Category:Waliozaliwa 1950]]
[[Category:Wanasiasa wa Tanzania|Mtikila]]
 
[[en:Christopher Mtikila]]