Wikipedia:Jumuiya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 395:
 
:Kufuatana na matumizi ya neno 'hakimiliki' kisheria, nimeandika 'hakimiliki' kwa ajili ya 'copyright' katika jumbe zetu. Sasa tutafsirije 'licensing' na 'license'? Mahali pengine 'license' pameandikwa 'leseni'. Au tutumie 'kibali', 'kibali cha utumiaji', 'hati ya utumiaji', 'kibali cha mwenye hakimiliki'? Halafu kwa ajili ya 'licensing' tutumie labda 'kutoa leseni', 'kutoa kibali', 'kutoa kibali cha utumiaji', kutoa hati ha utumiaji', kutoa kibali cha mwenye hakimiliki'? Au kuna pendekezo lingine? '''[[Mtumiaji:Lloffiwr|Lloffiwr]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Lloffiwr|majadiliano]])''' 09:39, 26 Septemba 2010 (UTC)
 
::Wengine wanatumia hakimiliki, wengine wanatumia hatimiliki. Ukitafuta kwenye Google, utagundua 60,000 kwa haki na 87,000 kwa hati - kweli, ni sawa. Ukitafsiri tena kwa Kiingereza, ni "right of ownership" vs. "certificate of ownership" - zote mbili ni istilahi ya kufaa kwa "copyright". Hivyo, ni kama "tembo" na "ndovu" - chagua moja kutumia kila mara katika Wikipedia, lakini usiwe na wasiwasi kama wengine hawakubali.
 
::Kuhusu "license/ licensing", nitachangia maoni yangu wiki kesho, baada ya kuchunguza jinsi akina Google na Microsoft wameanza kufanya. (Nipo safarini wiki hii.) '''[[Mtumiaji:Malangali|Malangali]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Malangali|majadiliano]])''' 18:46, 4 Oktoba 2010 (UTC)
 
== Kuweka tafsiri za maandishi katika video za Wikimedia Foundation ==