Mkoa wa Kati (Kenya) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: {| border=1 align=right cellpadding=4 cellspacing=0 width=250 style="margin: 0 0 1em 1em; background: #f9f9f9; border: 1px #aaaaaa solid; border-collapse: collapse; font-size: 95%;" |+<big...
 
No edit summary
Mstari 65:
 
== Historia ==
Wenyeji asilia ni hasa [[Wagikuyu]], [[Waembu]] na [[Wameru]] wanoitwa pia watu wa [[G.E.M.A.]] na kushirikiana historia ya pamoja wakitumia lugha ambazo ni karibu. Wanaaminiwa walifika mkoani katika karne ya 17.
 
Wakati wa ukoloni Waingereza waliona maeneo ya mkoa kufaa kwa walowezi Wazungu kutokana hali ya hewa. Hivyo sehemu kubwa zilitengwa kwa matumizi yao kwa jina la "White Highlands" (Nyanda za juu za Wazungu). Wenyeji wengi waliondolewa mashambani au walivumuliwa tu bila haki.
Mstari 71:
Siasa hii ilikuwa sababu hasa ya upinzani ulioanzishwa katika miaka ya 1940 kwa jina la [[Mau Mau]].
 
Chini ya utawala wa rais [[Jomo Kenyatta|Kenyatta]] mkoa uliona miradi mingi ya maendeleo kama barabara, viwanda na shule. Lakini wakati wa utawala wa [[Daniel arap Moi|Moi]] miradi mingi pamoja na barabara zilirudi nyuma.