Nembo ya Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Coat of arms of tanzania.svg|thumb|right|200|Nembo ya Tanzania]]
'''Nembo ya Tanzania''' huonyesha ngao ya askari iliyogawanyiwa katika sehemu nne:
*Sehemu ya kwanza yenye rangi ya manjano inatukumbusha utajiri wa madini ya [[Tanzania]]. Sehemu hii pia huonyesha mwengeMwenge wa uhuruUhuru unaowaka na kumaanisha [[Uhuru]] na [[Elimu]].
*Sehemu ya pili huonyesha [[Bendera ya Tanzania]].
*Sehemu ya tatu yenye rangi ya nyekundu humaanisha ardhi nzuri ya Tanzania. Sehemu hii pia huonyesha majembe, vifaa vya kulimia na kujengea taifa.