Nembo ya Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mpangilio mpya
mpangilio mpya
Mstari 10:
c) rangi nyekundu inamaanisha ardhi nyekundu ya Afrika na kilimo kama msingi wa maisha ya watu.
 
d) Miliamilia ya buluu na nyeupe katika robo ya nne inamaanisha mawimbi ya bahari na maziwa kwenye mipaka ya nchi pamoja na bahari inayozunguka [[Zanzibar]] kama sehemu ya Jamhuri ya Maungano.
 
Juu ya sehemu hizi kuna mkuki na majembe mawili yanayokumbusha juu ya utetezi wa uhuru na umuhimu wa kazi katika ujenzi wa taifa.