Mkoa wa Estuaire : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'right|175px|Estuaire Province {{Unreferenced|date=December 2008}}'''Estuaire''' ni moja kati ya mikoa tisa ya nchin...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:48, 7 Oktoba 2010

Estuaire ni moja kati ya mikoa tisa ya nchini Gabon. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 20,740. Mji mkuu wa mkoa huu ni Libreville, ambayo pia ndiyo mji mkuu wa nchi. Mkoa umepewa hili kwa ajili ya Mlango wa Mto wa Gabon, ambao ndiyo moyo wa mkoa huu.

Estuaire Province
Estuaire Province

Ukingo wa magharibi mwa Estuaire ni pwani ya Ghuba ya Guinea. Kwa upande wa kaskazini, Estuaire imepakana na Jamhuri ya Guinea ya Ikweta: Mkoa wa Litoral kwa upande wa kaskazini-magharibi, na Mkoa wa Centro Sur kwa upande wa kaskazini-mashariki. Kwa nyumbani, mkoa umepakana na mikoa ifuatayo:

Departments

 
Departments za Estuaire

Estuaire imegawanyika katika departments 5:

0°23′40″N 9°25′45″E / 0.39444°N 9.42917°E / 0.39444; 9.42917