Fahrenheit : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ka:ფარენჰეიტი; cosmetic changes
kuondoa neno la Kiingereza
Mstari 4:
Skeli ya fahrenheit ilibuniwa 1724 na mwanafizikia [[Ujerumani|Mjerumani]] [[Daniel Gabriel Fahrenheit]]. Ilikuwa skeli ya kupima halijoto iliyotumiwa sana duniani lakini wakati wa karne ya 20 skeli ya [[selsiasi]] ilichukua nafasi yake kwa sababu inalingana na [[vipimo sanifu vya kimataifa]]. Leo hii fahrenheit hutumiwa hasa [[Marekani]] na nchi chache nyingine kama [[Belize]].
 
Kwenye skeli ya fahrenheit scale kiwango cha kuganda kwa maji ni 32 °F na kiwango cha kuchemka kwa maji ni 212 °F. Kwa hiyo kuna vizio 180 kati ya halijoto ya maji kuganda na kuchemka.
 
== Mifano ==