Glukosi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: simple:Glucose
viungo
Mstari 1:
[[File:Beta-D-Glucose.svg|thumb|200px|Molekuli ya glukosi kwa umbo la mviringo]]
 
'''Glukosi''' ('''C<sub>6</sub>H<sub>12</sub>O<sub>6</sub>'''; kutoka [[Kigiriki]] "γλυκύς", tamu) ni [[sukari]] ya [[monosakaridi]] kwa hiyo aina ya [[kabohidrati]].
 
Ni kabohidarti muhimu katika biolojia. [[Seli]] huitumia kama chanzo cha nishati na nguvu.
 
Glukosi hujengwa na seli za [[mimea]] katika mchakato wa [[usanisinuru]].