Kuba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ne:क्युबा
No edit summary
Mstari 61:
Kuba ilikuwa koloni ya Hispania hadi 1898. Wakati ule Marekani iliingilia kati katika uasi wa Wakuba wa kupigania uhuru. Wahispania wakalazimishwa kuondoka baada ya [[Vita ya Marekani dhidi Hispania]]. Baadaye Kuba ilikuwa chini ya usimamizi wa kimarekani hadi 1934. Hadi leo kuna mabaki ya kipindi hiki ni kituo cha kijeshi cha Marekani cha [[Guantanamo Bay]].
 
[[Picha:Fidel Castro5 croppedCastro.JPGjpg|thumb|180px200px|left|[[Fidel Castro]]]]
Mwaka [[1959]] kikundi cha wanamapinduzi pamoja na [[Fidel Castro]] waliteka mji mkuu wa Havana na kuanzisha serikali ya ujamaa. Baada ya kupingwa na Marekani Castro alitafuta ushirikiano na usaidizi kutoka Urusi wa kikomunsti. Castro alitangaza siasa ya kikomunisti akaendelea kutawala bila uchaguzi huru.
 
<references/>
 
{{mbegu-jio-Karibi}}