Utoaji mimba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Human fetus 10 weeks - therapeutic abortion.jpg|thumb|Mimba ya wiki 10 hivi ilitolewailiyotolewa tumboni mwa mama kwa njia ya [[upasuaji]].]]
 
'''Utoaji mimba''' ni tendo la [[hiari]] la [[uuaji|kuua]] [[mimba]] iliyokwishatungwa tumboni mwa [[mwanamke]]. Unaweza kufanywa naye au na watu wengine kwa kibali chake au bila ya hicho. Sababu zinaweza kuwa mbalimbali: [[haya]], hali ya [[uchumi]], [[ulemavu]], [[ubaguzi wa jinsia]] n.k.
 
Ni tofauti na tukio lisilokusudiwa la [[mimba kuharibika]] kwa sababu mbalimbali.
 
==Mtazamo wa dini==
 
Badala ya kuheshimu kwa shukrani maajabu ya [[Mungu]] katika [[uumbaji]], mara nyingi [[binadamu]] aliyeshirikishwa naye kazi hiyo, amejifanya muuaji wa [[watoto]] wasiozaliwa bado na wa wale waliozaliwa pia.
 
Sababu zinaweza kuwa mbalimbali: [[haya]], hali ya [[uchumi]], [[ulemavu]], [[ubaguzi wa jinsia]] n.k.
 
Kwa vyovyote [[Biblia]] inasema [[uuaji]] wa wasio na hatia unamlilia Mungu alipe [[kisasi]], na [[dini]] mbalimbali zinapinga vikali tendo hilo.
 
==Utoaji mimba na uzazi wa mpango==
Kumbe siku hizi katika [[nchi]] nyingi [[utoaji mimba]] umehalalishwa na ma[[bunge]] na umekuwa ukichangiwa na [[serikali]].
 
Kumbe sikuSiku hizi katika [[nchi]] nyingi [[utoaji mimba]] umehalalishwa na ma[[bunge]] na umekuwa ukichangiwa na [[serikali]].
 
Kwa njia hiyo kila [[mwaka]] watoto milioni mia na zaidi wanaangamizwa kwa [[ukatili]] wasizaliwe, bila ya kuhesabu wale wanaouawa na [[vidonge]], [[sindano]], [[poda]], [[vitanzi]] na [[vipandikizi]], pengine bila ya wahusika kujua wala kutambua kilichotokea, kwa kuwa hivyo vinatangazwa kama njia za [[uzazi wa mpango]] unaopanga upatikanaji wa [[mimba]], kumbe ukweli ni kwamba vinaua mimba zilizokwishaumbwa, mbali ya kwamba vinaharibu [[afya]] ya akina [[mama]].
 
Kuna pia njia nyingine za kuzuia [[uzazi]], kama vile: kumwaga [[mbegu]] nje ya [[tumbo la uzazi]], kuvaa [[mipira ya kiume na ya kike]], [[kufunga kizazi]] cha [[mwanamume]] au cha [[mwanamke]]: ingawa njia hizo haziui mimba, zinaleta madhara kwa wanaozifuata, tena zinashindikana kwa kiasi tofauti. Hapo mtu aliyekusudia kukwepa mimba kwa mbinu yoyote anafikia kwa urahisi fulani uamuzi wa kuiua: hivyo hata njia hizo zinaweza zikaandaa njia kwa mauaji ya halaiki.
 
==Mjadala kuhusu uhalali wake==
 
Katika [[historia]] utoaji mimba umekuwa chanzo cha [[mjadala]] mkubwa unaotatanisha miongoni mwa wanaharakati. Msimamo wa mtu kuhusu suala hilo na mengine tata upande wa [[maadili]], [[falsafa]], [[biolojia]] na [[sheria]], mara nyingi huhusiana na [[mfumo]] wa maadili wa mtu huyo.
 
Misimamo mikuu ni kati ya wanaodai [[haki ya kuchagua]], msimamo unaotetea uavyaji mimba, na [[watetea uhai]], msimamo unaopinga uavyaji mimba.
 
Maoni kuhusu utoaji mimba yanaweza kuelezewa kama mseto wa imani kuhusu uadilifu wake, kuhusu uwajibikaji, na kiwango sahihi cha [[mamlaka]] ya [[serikali]] katika kutunga [[sera za umma]].
 
[[Maadili ya dini]] pia yana ushawishi katika maoni ya mtu binafsi na mjadala mzima kuhusu uavyaji.
 
Mijadala kuhusu uavyaji mimba, hasa [[sheria]] zinazohusu [[uavyaji]], mara nyingi huongozwa na makundi ya kutetea moja ya pande hizi mbili.
 
Kwa jumla, msimamo wa watetea uhai ni kuwa [[kijusi]] cha binadamu ni [[binadamu]] aliye na [[haki ya kuishi]] hivyo kuavya mimba ni sawa na [[uuaji]]. Msimamo wa wanaodai uhuru wa kuchagua ni kuwa mwanamke ana kiwango fulani cha [[haki]] kuhusu [[tumbo la uzazi]] hata kuchagua ikiwa atabeba mimba kwa muda wote au la.
 
Mjadala pia huangazia ikiwa mwanamke [[mjamzito]] anapaswa kuwaarifu / au kupata [[ridhaa]] ya watu wengine katika uamuzi huo: ikiwa ni[[mtoto]] aulize wazazi wake; ikiwa ni mke wa mtu amuambie mumewe; au mwanamke mjamzito amuambie aliyempa mimba.
 
[[Jamii:Biolojia]]