Tovuti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ku:Malper
d roboti Nyongeza: tt:Веб-сәхифә; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Tovuti''' ni mkusanyiko wa kurasa zilizoandikwa kwa lugha mbalimbali za [[tarakilishi]] kama vile [[HTML]], [[PHP]], [[XHTML]] na kadhalika na ambazo kwa pamoja hujumuika katika kutoa habari au maelezo kuhusu jambo fulani. Lugha hizi, yaani HTML, PHP, XHTML na kadhalika zinaweza tu kusomwa na kutafsiriwa na programu kama vile [[Internet Explorer]] na [[Mozilla Firefox]] kwa lugha ambayo inaweza kueleweka na binadamu. Wingi wake ni "tovuti" vile vile. Tovuti zote pamoja zinaitwa "[[mtandao]]" au "Intaneti" au "wavuti".
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.w3.org/History/19921103-hypertext/hypertext/WWW/TheProject.html Tovuti ya kwanza iliyoundwa na Tim Berners-Lee]
* [http://www.icann.org/ Internet Corporation For Assigned Names and Numbers (ICANN)] - Shirika Linalosimamia Anuani za Tovuti Duniani
* [http://www.w3.org/ World Wide Web Consortium (W3C)] - Shirika Linalohusika na Kanuni za Msingi za Ujenzi wa Tovuti (na mambo mengine yanayohusika na tovuti)
* [http://www.isoc.org/ The Internet Society (ISOC)]
 
[[Jamii:Intaneti]]
Mstari 71:
[[tl:Websayt]]
[[tr:Web sitesi]]
[[tt:Веб-сәхифә]]
[[uk:Веб-сайт]]
[[ur:موقعِ حبالہ]]