Tofauti kati ya marekesbisho "Tyra Banks"

78 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
roboti Nyongeza: ka:ტაირა ბენქსი; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: mk:Тајра Бенкс)
d (roboti Nyongeza: ka:ტაირა ბენქსი; cosmetic changes)
[[FilePicha:Tyra Banks(Cannes).jpg|right|thumb|Tyra Banks]]
'''Tyra Lynne Banks''' aliyezaliwa Desemba 4, 1973 nchini [[Marekani]] ni mwigizaji, mwanamitindo, mfanyibiashara na pia mwimbaji.<ref>{{cite web|url= http://movies.msn.com/celebrities/celebrity-biography/tyra-banks/|title=Tyra Banks:Biography on MSN|author=Jason Clark|accessdate=2008-07-18|date=2008|publisher=[[MSN]]}}</ref><ref>{{cite web|url= http://abcnews.go.com/GMA/BeautySecrets/story?id=1280787|title= ABC News: Tyra Banks Experiences Obesity Through Fat Suit<!-- Bot generated title -->}}</ref><ref>{{cite web|url= http://www.forbes.com/free_forbes/2006/0703/120.html|title= Tyra Banks On It - Forbes.com<!-- Bot generated title -->}}</ref> Alipata umaarufu kama mwanamitindo alipokuwa kwenye miji ya [[Paris]], [[Milan]], [[London]], [[Tokyo]] na [[New York]]. Banks ni mbunifu na mtangazaji mkuu wa kipindi cha ''America's Next Top Model''. Yeye pia ni mbunifu wa ''True Buauty'' na mtangazaji wa kipindi cha mahojiano cha ''The Tyra Banks Show''.
 
== Maisha yake ==
Tyra Banks alizaliwa mjini [[Inglewood]], [[California]]; mwana wa Carolyn na Donald Banks.<ref>{{cite web|url= http://www.filmreference.com/film/26/Tyra-Banks.html|title= Tyra Banks Biography|publisher = FilmReference.com}}</ref> Wazazi wake waliachana pindi Tyra alipokuwa na miaka sita. Baadaye, Carolyn aliolewa na Clifford Johnson. Banks alisoma katika shule ya John Burroughs iliyopo mjini [[Los Angeles]] na kisha akaenda katika shule ya upili ya Immaculate Heart.
 
== Kazi yake ==
=== Mwanamitindo ===
Tyra alianza uanamitindo alipokuwa darasa la 11.<ref>{{cite web|url= http://www.nytimes.com/2008/06/01/magazine/01tyra-t.html?ei=5124&en=6a5e98a9634a54f6&ex=1369972800&partner=permalink&exprod=permalink&pagewanted=all|title= Banksable|first = Lynn|last = Hirschberg|publisher = New York Times|date= June 1, 2008}}</ref> Baadaye, alienda mjini [[Paris]] kwa ajili ya kufanya kazi hii. Katika wiki yake ya kwanza mjini [[Paris]], Tyra alipata umaarufu na mafanikio yaliyovunja rekodi kwani ilikuwa mwanzo wake katika uanamitindo. Yeye alishirikiana Anna Sui, CoverGirl, Badgley Mischka, Bill Blass, Chanel, Christian Dior, Dolce & Gabbana, H&M, McDonald's, Pepsi, Nike, Victoria's Secret na Yves Saint Laurent. Yeye ameonekana kwenye majalada maarufu kama ''Vogue'', ''Harper's Bazaar'', ''Cosmopolitan'' na ''Elle''. Mnamo 1997, Tyra alipokea tuzo la ''VH1 Award for Supermodel of the Year''. Mwaka huo huo, yeye alikuwa Mwamerika mweusi wa kwanza kutokea kwenye kasha ya jalada la ''Victoria's Secret''.<ref>http://findarticles.com/p/articles/mi_m1077/is_n7_v52/ai_19383832/</ref>
 
=== Filamu na televisheni ===
Banks alianza kuigiza kwenye msimu wa nne wa kipindi cha ''The Fresh Prince of Bel-Air'' ambapo aliigiza kama Jackie Ames. Aliigiza kwenye vipindi kama ''Felicity'', ''MADtv'' na ''The Price Is Right''
 
Banks amesema kuwa ataigiza kama Ursula Nyquist kwenye kipindi cha ''Gossip Girl'' msimu wa tatu.<ref>http://www.usmagazine.com/news/tyra-banks-joining-gossip-girl-2009317}}</ref>
 
=== Muziki ===
Banks ameonekana kwenye video za muziki kama "Black or White" ya Michael Jackson, "Love Thing" ya Tina Turner na kwenye wimbo wa "Too Funky" ya George Michael.
 
== Filamu ==
{| class="wikitable"
|- style="background:#ccc; text-align:center;"
|1993||''The Fresh Prince of Bel-Air''||Jackie Ames||
Aliigiza kwenye vipindi vifuatavyo:
* Where There's a Will, There's a Way: 1
* All Guts, No Glory
* Father of the Year
* Blood Is Thicker Than Mud
* Fresh Prince After Dark
* Take My Cousin... Please
* You've Got to Be a Football Hero
|-
|rowspan=2|1999
|''Felicity''||Jane Scott||
Aliigiza kwenye vipindi vifuatavyo:
* A Good Egg
* Kissing Mr. Covington
* One Ball, Two Strikes
|-
|''Just Shoot Me!''||Mwenyewe||
Aliigiza kwenye vipindi vifuatavyo:
* Nina Sees Red: 1
* Nina Sees Red: 2
|-
|2000||''MADtv''||Katisha Latisha Parisha Farisha Johnson||
* Kipindi #5.17
* Kipindi #5.25
|-
|2003-hadi leo||''America's Next Top Model''||Hakimu||Tyra ni hakimu na mtunzi wa kipindi hiki
|}
 
== Marejeo ==
{{reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
* {{imdb name|id=0004723|name=Tyra Banks}}
* {{Amg name|195112}}
* {{people.com|Tyra Banks}}
* [http://tyrashow.warnerbros.com/ ''The Tyra Banks Show'' website]
* ''[http://www.nytimes.com/2008/06/01/magazine/01tyra-t.html The New York Times]'' profile/interview
 
[[Jamii:wazaliwaWazaliwa wa 1973]]
 
[[be-x-old:Тайра Бэнкс]]
[[it:Tyra Banks]]
[[ja:タイラ・バンクス]]
[[ka:ტაირა ბენქსი]]
[[lt:Tyra Banks]]
[[mk:Тајра Бенкс]]
44,168

edits