Tofauti kati ya marekesbisho "Philippus Mwarabu"

115 bytes removed ,  miaka 10 iliyopita
d
d (roboti Badiliko: id:Filipus si Arab)
 
[[Picha:Antoninianus Philip the Arab - Seculum Novum.jpg|thumb|right|Shaba inayoonyesha Kaizari Philippus Mwarabu]]
 
'''Marcus Julius Philippus''' (takriban [[204]] – April/Mei [[249]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia Februari [[244]] hadi kifo chake. Alimfuata [[Gordian III]]. Aliitwa '''Mwarabu''' kwa vile alizaliwa katika jimbo la [[Syria]] karibu na mji wa [[Damaskus]] na wazazi [[Waarabu]].