Content deleted Content added
Mstari 202:
Salam, ChriKo! Eti umeona huo ukurasa huo hapo juu? Unaenda katika Wikipedia ya Kiingereza, huruma - sijui hao Chipmunks ni panya au namna gani. Je, unaweza kuumba ukurasa wa [[Chipmunk]] japo kwa Kiswahili? Au hata ukielezea namna uonavyo kwa kitaalamu zaidi? Haya, ni hilo ombi langu. Wako Muddyb au,--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 09:07, 11 Oktoba 2010 (UTC)
:Muddyb, salaam. Ndiyo, nimeona ukurasa huo. Chipmunk ni aina ya kindi ambaye anaishi ardhini. Nikipata nafasi ningeweza kuumba ukurasa wa chipmunk, lakini isingekuwa mzuri zaidi niumbe ukurasa wa kindi kwanza? Wako, Christiaan. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo#top|majadiliano]])''' 13:31, 14 Oktoba 2010 (UTC)
 
::Nitashukuru kama nini ukiandika makala yake!--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 17:35, 16 Oktoba 2010 (UTC)