Daudi (Biblia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Ondoa: gv:Davy
d roboti Nyongeza: sco:David; cosmetic changes
Mstari 10:
Pamoja na makosa yake, Daudi akabaki kielelezo cha mfalme wa Israeli, ambaye awe tofauti na watawala wengine wote kwa kuwa hasa mtumishi mnyenyekevu wa Mungu.
 
== Habari zake katika [[Vitabu vya Samweli]] ==
 
1Sam 9:11-10:16 inasimulia [[Sauli]] alivyoteuliwa kuwa mfalme wa kwanza. Akitawala karibu miaka ishirini, alifanya makosa na kulaumiwa na [[Samweli]], hata akakataliwa kabisa na [[Mungu]] kwa kutomtii kikamilifu (1Sam 15). Ingawa akaendelea kutawala kwa muda fulani, polepole alijitokeza kijana Daudi ambaye akaja kuanzisha ukoo wa kifalme wa milele.
Mstari 34:
2Sam 24 pia inatuchorea sura yake ya kiroho: alipoadhibiwa na Mungu kwa [[tauni]] iliyoua Waisraeli wengi baada ya yeye kuhesabu [[askari]] wote alioweza kuwategemea vitani, basi kama [[mchungaji mwema]] aliomba [[adhabu]] imuangukie mwenyewe, lakini si [[kondoo]] zake wasio na kosa. Mfalme wa kumpendeza Mungu ni mchungaji wa watu wake; kadiri ya [[Injili]], [[Yesu Kristo]] [[mwana wa Daudi]] anawajua kondoo zake mmojammoja kwa jina, naye amejitwisha adhabu ya makosa yao: ndiye mfalme na mchungaji bora.
 
== Habari zake za mwisho ==
 
Habari za mwisho za Daudi zinapatikana katika [[Kitabu cha Kwanza cha Wafalme]] 1-2 tunaposikia juu ya njama ya mtoto mwingine: [[Adoniya]] alitaka kutawala akajifanya mfalme huku Daudi mkongwe hana habari. Lakini Nathani akaingilia kati ili mwandamizi awe Solomoni, ambaye alipozaliwa na mke wa Uria alimhakikishia Daudi msamaha wa Mungu.
 
== Kitabu cha Zaburi ==
 
[[Kitabu cha Zaburi|Zaburi]] nyingi zinamtaja Daudi kama mwandishi au zimeandikwa kwa heshima yake.
Mstari 94:
[[ro:David (Israel)]]
[[ru:Давид]]
[[sco:David]]
[[simple:David]]
[[sk:Dávid (biblická postava)]]