Tofauti kati ya marekesbisho "Machakos"

1 byte added ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
(New page: right|150px|Location of Machakos in Kenya '''Machakos''' ni mji wa Kenya katika Ukambani takriban kilomita 64 upande wa kusini-mashariki wa Nairobi. Ni ma...)
 
[[Image:KE-Machakos.png|right|150px|Location of Machakos in Kenya]]
'''Machakos''' ni mji wa [[Kenya]] katika Ukambani takriban kilomita 64 upande wa kusini-mashariki wa [[Nairobi]]. Ni makao makuu ya Wilaya ya Machakos na mji mkubwa wa [[Mkoa wa Mashariki (Kenya)|Mkoa wa Mashariki)]].
 
Machakos imekua haraka kwa sababu ni karibu na mji mkuu wa taifa imeshapita idadi ya wakazi lakhi na nusu. Wenyeji wa Machakos ni hasa [[Wakamba]].