Mkondo wa Benguela : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: uk:Бенгельська течія |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Badiliko: hi:बेंगुएला धारा; cosmetic changes |
||
Mstari 1:
[[
'''Mkondo wa Benguela''' ni [[mkondo wa bahari]] katika [[Atlantiki]] ya Kusini unaotoka katika bahari baridi karibu na [[Antaktika]] na kuelekea kaskazini ukipita kwenye pwani la magharibi la Afrika. Mkondo una upana wa 200-3000 km.
Mstari 7:
Kusini ya rasi ya Afrika mkondo wa Benguela unakutana na maji ya vuguvugu ya [[mkondo wa Agulhas]] kutoka [[Bahari Hindi]].
== Athira kwa hali ya hewa Namibia ==
Ukipita kwenye pwani la [[Namibia]] husababisha hali ya hewa kavu sana. Baridi ya mkondo wa Benguela hupoza upepo kutoka kusini-magharibi na kuusababisha kunyesha unyevu wake kama mvua baharini hivyo kuzuia mvua barani. [[Jangwa la Namib]] ni tokeo la mazingira haya. Halijoto ya maji kwenye mwambao wa Namibia huwa ni kwenye 15 [[°C]] na ukungu hutokea mara kwa mara mwambaoni.
[[
[[Jamii:Jiografia ya Namibia]]
Mstari 20:
[[fi:Benguelavirta]]
[[fr:Courant de Benguela]]
[[hi:
[[hr:Benguelska struja]]
[[id:Arus Benguela]]
|