Utah : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mn:Юта
No edit summary
Mstari 26:
'''Utah''' ni jimbo la [[Marekani]] upande wa magharibi ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni [[Salt Lake City]] (mji ya ziwa wa chumvi). Imepakana na [[Idaho]], [[Wyoming]], [[Colorado]], [[Arizona]], na [[Nevada]]. Jimbo lina wakazi wapatao 2,736,424 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 219,887. Tangu [[1896]] eneo lilipata hali ya jimbo la kujitawala.
 
Gavana amekuwa tangu [[2004]] mwigizaji Jon Meade Huntsman, Jr.
 
[[Picha:Map of Utah NA.png|thumb|left]]