Sade : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
picha
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Sade-Best of Sade.jpg|thumb|Sade]]
'''Helen Folasade Adu''' (alizaliwa Januari 16 1959. Anajulikana zaidi kwa jina la Sade. Sade ambaye amewahi kupata [[Tuzo ya Grammy]]ni mwimbaji na mtunzi aliyezaliwa nchini [[Nigeria]].
 
'''Helen Folasade Adu''' (alizaliwaamezaliwa [[Januari 16]], [[1959]]) ni mwanamuziki kutoka nchi ya [[Nigeria]]. Anajulikana zaidi kwa jina la '''Sade'''. Sade ambaye amewahi kupata [[Tuzo ya Grammy]] hasa ni mwimbaji na mtunzi aliyezaliwa nchini [[Nigeria]].
=Historia=
 
Sade alizaliwa katika mji wa [[Ibadan]] katika [[Jimbo la Oyo]]. Baba yake, Bisi Adu, alikuwa ni Mnigeria, mhadhiri wa masuala ya uchumi, na mama yake, Anne Hayes,alikuwa ni nesi toka Uingereza. Baada ya baba na mama yake kuachana, mama yake alirudi Uingereza ambapo aliwachukua Sade na kaka yake, Banji. Akiwa Uingereza, Sade alijenga mapenzi na masuala ya mitindo, dansi, na kuimba. Wakati huo alipenda kuwasikiliza wanamuziki kama [[Marvin Gaye]], [[Curtis Mayfield]], na [[Donny Hathaway]].
==Historia==
Sade alizaliwa katika mji wa [[Ibadan]] katika [[Jimbo la Oyo]]. Baba yake, Bisi Adu, alikuwa ni Mnigeria, mhadhiri wa masuala ya uchumi, na mama yake, Anne Hayes, alikuwa ni nesi toka [[Uingereza]]. Baada ya baba na mama yake kuachana, mama yake alirudi Uingereza ambapo aliwachukua Sade na kaka yake, Banji. Akiwa Uingereza, Sade alijenga mapenzi na masuala ya mitindo, dansi, na kuimba. Wakati huo alipenda kuwasikiliza wanamuziki kama [[Marvin Gaye]], [[Curtis Mayfield]], na [[Donny Hathaway]].
 
{{mbegu}}
 
{{DEFAULTSORT:Sade}}
[[Category:Wanamuziki]]
[[Category:WanamuzikiWaliozaliwa Wanawake1959]]
[[Category:Wanamuziki wa Uingereza]]
[[Category:Wanamuziki wa Nigeria]]
[[Category:Washindi wa Tuzo ya Grammy]]