Askofu mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: lv:Arhibīskaps
d roboti Badiliko: th:อัครมุขนายก; cosmetic changes
Mstari 3:
Asili ya neno lenyewe ni [[Kigiriki]] αρχή ''arché'' (mwanzo, wa kwanza). Sehemu ya pili ni neno la Kigiriki επίσκοπος ''episkopos'' (mwangalizi) lililofikia Kiswahili kupitia umbo la [[Kiarabu]] ''uskuf''.
 
== Kanisa katoliki ==
Kama nchi ina wakatoliki wengi kuna majimbo mbalimbali na kila moja ina askofu mkuu wake. Kama idadi ya wakatoliki ni wastani huwa na jimbo moja na askofu mmoja tu mwenye cheo cha askofu mkuu.
 
== Waanglikana na Waluteri ==
Katika makanisa mengine huwa askofu mkuu ni askofu kiongozi wa nchi fulani. Lakini cheo hiki hakitumiwi vile katika kila nchi na Waluteri ni hasa Waluteri wa Uswidi, Ufini, Urusi na Estonia walio na askofu mkuu.
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[CategoryJamii:Kanisa]]
 
[[Category:Kanisa]]
 
[[az:Arxiyepiskop]]
Line 61 ⟶ 60:
[[sv:Ärkebiskop]]
[[szl:Arcybiskup]]
[[th:อัครสังฆราชมุขนายก]]
[[tr:Başpiskopos]]
[[uk:Архієпископ]]