Pergamon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
CGN2010 (majadiliano | michango)
d →‎Viungo vya Nje: clean up using AWB
d roboti Nyongeza: ga:Péargamon; cosmetic changes
Mstari 3:
'''Pergamon''' (jina la leo [[Kituruki]] ''Bergama''; [[Kigiriki]]: Πέργαμον; [[Kilatini]]: Pergamum) ilikuwa mji wa [[Ugiriki ya Kale]] kwenye pwani la magharibi la [[Asia Ndogo]] katika [[Uturuki]] ya leo. Leo hii uko hapa mji wa [[Bergama]] takriban kilomita 80 kaskazini ya [[Izmir]].
 
Wakati wa karne ya 3 na 2 kabla ya Kristo Pergamon ilikuwa mji mkuu wa milki iliyotawala sehemu kubwa za Asia Ndogo. Watawala wa [[nasaba ya Attalos]] walipamba mji kwa mahekalu na taasisi zilizoufanya kitovu cha utamaduni wa Kigiriki.
 
Pergamon ilikuwa na maktaba kubwa ya pili katika dunia ya [[Mediteranea]] baada ya [[maktaba ya Aleksandria]], inasemekana maktaba hii ilikuwa na vitabu vya [[miswada]] 200,000.
Mstari 33:
[[fi:Pergamon]]
[[fr:Pergame]]
[[ga:Péargamon]]
[[gl:Pérgamo]]
[[he:פרגמון]]