Zanzibar (maana) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
 
* kijiografia '''[[Funguvisiwa ya Zanzibar]]''' kwenye mwambao wa Afrika ya Mashariki hasa visiwa vikubwa vya [[Unguja]] na [[Kisiwa cha Pemba|Pemba]] pamoja na visiwa vidogovidogo
* nje ya Tanzania kisiwa cha [[Unguja]] mara nyingi huitwa "Zanzibar"
* kisiasa '''[[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar]]''' ambayo eneo lake ni sawa na funguvisiwa ikiwa ni sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya [[Tanzania]]
* kihistoria '''[[Usultani wa Zanzibar]]''' iliyoanzishwa baada ya kifo cha Sultani [[Sayyid Said]] na kugawiwa kwa Usultani ya [[Omani]] mwaka 1856 wakati mwanaye [[Sayyid Majid]] alipokuwa sultani wa kwanza wa Zanzibar akitawala funguvisiwa ya Zanzibar pamoja na pwani la [[Afrika ya Mashariki]] kati ya [[Mogadishu]] (leo mji mkuu wa [[Somalia]]) na Rasi ya Delgado (leo [[Msumbiji]] ya Kaskazini karibu na mto wa [[Ruvuma]]).