Ngoma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1:
''' '''NGOMA''''''
Ngoma ni muziki na lugha ya pekee inayotumika kwa kuelezea
utamaduni na historia ya nchi fulani, tuna tumiatunatumia lugha ya ngoma
katika kuelezea hali mbalimbali za maisha yetu, kama vile huzuni,
furaha, mapenzi, kutia moyo, vitisho, shukurani naushindina ushindi.
Babu zetu walikuwa na lugha hii ya ngoma ambayo tumeirithi
kwa mapokeo.