Tofauti kati ya marekesbisho "Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli"

no edit summary
No edit summary
[[Picha:30-manasses-chronicle.jpg|thumb|right|300px|Mchoro wa mtaguso wa kwanza wa [[Konstantinopoli]].]]
 
'''Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli''' ndio wa pili katika orodha ya [[mitaguso ya kiekumene]] ya [[Kanisa]] wakati wa [[babu wa Kanisa|mababu]] wake.
Uliitishwa na [[kaisari]] [[TeodosiusTheodosius I]] ukafanyika [[Konstantinopoli]] mwaka [[381]].
 
Ma[[askofu]] 150 waliohudhuria walilaani aina mbalimbali za [[uzushi]], hasa ule wa [[Masedoni wa Konstantinopoli]] aliyekanusha [[umungu]] wa [[Roho Mtakatifu]], na kuthibitishawakathibitisha maamuzi ya [[mtaguso mkuu]] wa kwanza ([[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]]), uliofanyika mwaka [[325]].
 
Hivyo walikiri kwamba Roho Mtakatifu pia, kama vile [[Yesu]] [[Mwana wa Mungu]], anachanga hali[[dhati]] ileile ya [[Baba]].
 
Pamoja na hayo, walikamilisha [[kanuni ya imani ya Nisea]] ambayo kwa sababu hiyo inaitwa sasa [[kanuni ya imani ya Nisea-Konstantinopoli]] na ambayo inatumika sana hata leo katika [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo]], hasa katika [[liturujia]].
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.newadvent.org/cathen/04308a.htm FirstMtaguso Councilwa ofkwanza Constantinoplewa Konstantinopoli katika [[Catholic Encyclopedia]]]
 
[[Category:Mitaguso]]
[[Jamii:Istanbul]]
 
[[ar:مجمع القسطنطينية الأول]]