Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:45-manasses-chronicle.jpg|thumb|right|300px|Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli]]
'''Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli''' unahesabiwa na [[Wakristo]] wengi kamakuwa wa sita kati ya [[Mitaguso ya kiekumene]].
 
Uliitishwa tarehe [[7 Novemba]] [[680]] ukafungwa tarehe [[16 Septemba]] [[681]].
 
[[Kaisari]] [[Konstantino IV]] wa Bizanti[[Konstantinopoli]] ndiye aliyeuitisha na kuuendesha. kuanzia tarehe [[7 Novemba]] [[680]] hadi tarehe [[16 Septemba]] [[681]].
 
Suala kuu lililosumbua Wakristo wa [[karne VII]] lilimhusu [[Yesu Kristo]] upande wa [[utashi]]. Ulikuwa unaenea mtazamo wa kwamba hakuwa na utashi wa kibinadamu, bali ule wa Kimungu tu.
 
Lakini [[wamonaki]] [[Sofronio wa Yerusalemu]] na [[Maksimo Muungamadini]] walipinga vikali jaribio hilo la kuleta upatanisho wa [[Waorthodoksi wa Mashariki]] ([[Wamisri]] n.k.) kwa kumpunguza [[Yesu]] katika ubinadamu wake kamili uliosisitizwa na [[Mtaguso wa Kalsedonia]] ([[451]]).
 
Vilevile [[Papa Martin I]] ([[649]]-[[655]]), katika [[mtaguso]] uliofanyika [[Laterani]], alilaani mtazamo huo, kinyume cha [[Kaisari]] na [[Patriarki]] wa [[Konstantinopoli]].
 
Katika Mtaguso wa tatu wa Konstantinopoli [[Konstantino IV wa Bizanti]] alikubaliana na [[Papa Agatoni]] ([[678]]-[[681]]), na [[mtagusohivyo mkuu]]Mtaguso huowa tatu wa Konstantinopoli ulilaani rasmi mtazamo wa kwamba [[Yesu]] hakuwa na utashi wa kibinadamu.
 
== Viungo vya nje ==