Mtaguso wa pili wa Laterano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Mtaguso wa pili wa Laterano''', uliofanyika kuanzia tarehe [[4 Aprili|4]] hadi [[11 Aprili]] [[1139]] chini ya [[Papa Inosenti II]] ([[1130]]-[[1143]]), unahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa [[mtaguso mkuu]] wa kumi.
 
Ni wa pili kufanyika Magharibi ([[Italia]]), kwenye [[Kanisa kuu la Roma]] ([[Italia]]).
 
== Historia ==
Mtaguso ulihitajika kutokana na farakano lililotokea mwaka [[1130]] alipofariki [[Papa OnoriHonori II]] ([[1124]]-[[1130]]): hapo ma[[kardinali]] waligawanyika kuhusu [[Mapatano ya Worms]], ambayo mwaka [[1122]] yalikomeshayalikuwa yamekomesha [[Mashindano kuhusu uteuzi wa maaskofu]].
 
Isitoshe, kulikuwa na ushindani kati ya [[koo]] mbili za [[Roma]], yaani Frangipane na Pierleoni.
 
Tarehe [[14 Februari]] [[1130]], makardinali 16 waliosimama upande wa familia ya Frangipane walimchagua kuwa papa Gregorio Papareschi, aliyejiita Papa [[Inosenti II]].
 
Saa chache baadaye, Pietro Pierleoni alichaguliwa na makardinali wengine na kujiita papa [[Anakleti II]].
 
Hatimaye, kwa msaada wa [[Bernardo wa Clairvaux]], Inosenti II alishinda na kukubaliwa na wengi, ingawa hakuweza kuhamia Roma mpaka baada ya mpinzani wake kufa ([[1138]]).
 
Baada ya mpinzani wake kufa ([[1138]]) [[mtagusoMtaguso]] ulipaswa kurekebisha matokeo ya farakano hilo. Basi
Inosenti II alifungua kikao na kuondoshwakuondoa madarakani ma[[askofu]] waliomfuata mpinzani wake.
 
Halafu papa alikusudia kuendeleza juhudi za [[urekebisho]] za [[Mtaguso wa kwanza wa Laterano]]. Hivyo zikapitishwa kanuni 30, ambazo nyingi kati yake zilikuwa za kurudia zile za zamani kuhusu usimoni, mapadri wenye wake n.k.
Inosenti II alifungua kikao na kuondoshwa madarakani ma[[askofu]] waliomfuata mpinzani wake.
 
Halafu papa alikusudia kuendeleza juhudi za [[urekebisho]] za [[Mtaguso wa kwanza wa Laterano]].
 
Hivyo zikapitishwa kanuni 30.
 
==Viungo vya nje==
{{Wikisource|Second_Lateran_Council|Text of the Second Lateran Council}}
*[http://www.legionofmarytidewater.com/faith/ECUM10.HTM Second Lateran Council]
 
 
 
[[Jamii:Mitaguso]]
[[Jamii:Laterano]]
 
[[cs:2. lateránský koncil]]