95,391
edits
d (roboti Badiliko: fr:Troisième concile du Latran) |
No edit summary |
||
'''Mtaguso wa tatu wa Laterano''' uliitishwa na [[Papa Aleksanda III]] ([[1159]]-[[1181]]) ufanyike huko [[Roma]] mwaka [[1179]], kutokana na [[Amani ya Venezia]] kati ya [[Kaisari]] [[Federiko I wa Ujerumani]] na [[Lega Lombarda]] ya [[Italia]] kaskazini.
Unahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtaguso mkuu]] wa
Ulihudhuriwa na viongozi wa [[Kanisa]] 300 na kufanyika katika vikao vitatu, tarehe [[5 Machi]], [[7 Machi]] na [[19 Machi]] [[1179]].
== Viungo vya nje ==
* {{en}} [http://www.newadvent.org/cathen/09017b.htm
[[Jamii:Mitaguso]]
[[Jamii:Laterano]]
[[ca:Concili del Laterà III]]
|