Mtaguso wa nne wa Laterano : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: fr:Quatrième concile du Latran |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Mtaguso wa nne wa Laterano''' ([[1215]]) unahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtaguso mkuu]] wa 12.
Uliitishwa na [[Papa Inosenti III]] ([[1198]]-[[1216]]) kama kilele cha kazi yake.
Ulihudhuriwa na ma[[askofu]] 483 (wakiwemo ma[[patriarki]] wa Kilatini wa [[Konstantinopoli]] na [[Yerusalemu]] na wawakilishi wa wale wa [[Antiokia]] na [[Aleksandria]]), na wakuu wa watawa 900 hivi, mbali na mabalozi wa watawala wa nchi mbalimbali.▼
▲Ulihudhuriwa na ma[[askofu]]
Mada kuu zilikuwa [[Vita vya msalaba]], [[Mashindano kuhusu uteuzi wa viongozi wa Kanisa]], [[mamlaka]] ya [[Papa]], mwenendo wa ma[[kleri]], [[mashirika ya kitawa]], [[imani]] kuhusu [[ekaristi]], adhimisho la [[sakramenti]] ya [[kitubio]].▼
▲Mada kuu zilikuwa [[Vita vya msalaba]], [[Mashindano kuhusu uteuzi wa viongozi wa Kanisa]], [[mamlaka]] ya [[Papa]], mwenendo wa ma[[kleri]], [[mashirika ya kitawa]], [[imani]] (kuhusu [[ekaristi]] n.k.),
Kutokana na wingi na umuhimu wa mafundisho na maamuzi yaliyotolewa, mtaguso huo unahesabiwa kuwa kati ya ile iliyoathiri zaidi [[Kanisa]] hadi leo.
Line 13 ⟶ 15:
Papa mwenyewe ndiye aliyefungua kikao kwa hotuba ya kusisimua tarehe [[11 Novemba]] [[1215]], naye tarehe [[30 Novemba]] alipendekeza kanuni 70 ambazo zilipitishwa bila ya kupingwa.
Hivyo [[mtaguso]] huo ulizidi kukusanya mamlaka ya [[Kanisa]] mikononi mwa [[Papa]].
== Viungo vya nje ==
* [http://www.newadvent.org/cathen/09018a.htm
* [[Enchiridion symbolorum, definitionum et declarationum de rebus fidei et morum]] [http://catho.org/9.php?d=bxw#bo5 800-815] (Mafundisho muhimu ya mtaguso huo kwa [[Kilatini]])
[[Jamii:Mitaguso]]
[[Jamii:Laterano]]
[[ca:Concili del Laterà IV]]
|