Mtaguso wa pili wa Lyon : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Badiliko: es:Concilio de Lyon II |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Mtaguso wa pili wa Lyon''', uliofanyika mwaka [[1274]], unahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtaguso mkuu]] wa 14.
== Mazingira ==
Mstari 5:
[[Mtaguso]] wa pili kufanyika [[Lyon]] ([[Ufaransa]]) ulikusudiwa hasa kurudisha [[umoja]] kamili kati ya Wakatoliki na [[Waorthodoksi]], uliotafutwa katika [[karne ya 13]] yote.
Mnamo Februari [[1274]], katika [[ikulu]] ya [[Konstantinopoli]], [[kaisari]] [[Mikaeli VIII]] ilifaulu kufanya ma[[askofu]] wengi wakiri ungamo la [[imani]] lililodaiwa na [[Papa Klementi IV]] ([[1265]]-[[1268]]).
Ndipo [[Papa Gregori X]] ([[1271]]-[[1276]]) alipoitisha mtaguso huko Lyon, ambao uhudhuriwe na wawakilishi wa Waorthodoksi ili kukamilisha umoja.
== Kazi na maamuzi ya mtaguso ==
[[Papa Gregori X]] alifungua mtaguso tarehe [[7 Mei]] [[1274]] akitangaza tena malengo yake matatu:
Vilifuata vikao viwili tarehe [[18 Mei]] na [[4 Juni]]. Halafu tarehe [[24 Juni]] ulifika na kupokewa kwa shangwe ujumbe kutoka [[Ugiriki]], ukiundwa na maaskofu 2 na katibu wa kaisari.
Mstari 19:
== Mapokezi ya mtaguso ==
Muungano haukuweza kudumu, kwa sababu,
[[Mikaeli VIII]] alijaribu kulazimisha raia zake wapokee mambo wasiyoyakubali kwa moyo, hata akatumia nguvu [[dhuluma|kuwadhulumu]] waliokataa; akilaumiwa na watu wa [[Roma]] kwa kushindwa kufanikisha muungano, akaja kutengwa na Kanisa. Alipokufa ([[1282]]), mwanae [[Androniko II]] aliyemrithi, alifuta maamuzi ya baba yake kwa ajili ya muungano.
Vilevile mipango kwa ajili ya [[vita vya msalaba]] haikutekelezwa, na hatimaye ([[1291]]) [[Waturuki]] waliteka [[Akri]], mji wa mwisho kubaki mikononi mwa Wakristo huko [[Mashariki ya Kati]].
Maamuzi mengine yalihusu utaratibu mpya wa kumchagua [[Papa]] kwa lengo la kuzuia uchelewaji uliojitokeza hapo nyuma, na katazo la mashirika mapya ya kitawa.
== Vitabu vya rejea ==
Line 29 ⟶ 33:
== Viungo vya nje ==
* [http://www.newadvent.org/cathen/09476c.htm
* [http://www.totustuus.biz/users/concili/lione2.htm
[[Jamii:Mitaguso]]
[[Jamii:Lyon]]
[[bg:Втори Лионски събор]]
|