Wilaya ya Kigamboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kigezo infobox settlement using AWB
d rekebisha kiungo cha takwimu using AWB
Mstari 20:
[[Picha:DarEsSalaam-Skyline.jpg|thumb|200px|Feri ya Kigamboni mjini Daressalaam]]
[[Image:DarEsSalaam-KigamboniBeach.jpg|thumb|200px|Mapumziko Kigamboni ufukoni]]
'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la kata ya Wilaya ya [[Temeke]] katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 36,701 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzanianbs.go.tz/census/census/districts/kinondoniindex.htmphp?option=com_phocadownload&view=category&id=88:village-stat&Itemid=106|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21}}</ref>
 
Kigamboni ina umbo la rasi kati ya Bahari Hindi na maji ya bandari. Imetengwa na jiji la [[Dar es Salaam]] kwa maji ya [[Kurasini Creek]]. Mawasiliano yapo kwa njia ya feri kati ya Kigamboni na Kivukoni upande wa jiji. Kuna pia barabara inayozunguka bandari lakini njia hii ni mbali mno ni kilomita zaidi ya hamsini hadi kitovu cha jiji kwa njia ya nchi kavu. Kuna mipango ya kujenga daraja.