Ngoma : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
Neno ngoma lina maana mbalimbali:
*[[ngoma (ala ya muziki)|Ngoma]] inaweza kumaanisha [[ala ya muziki]] inayotumika sana barani [[Afrika]] (angalia [[ngoma (ala ya muziki)]]).
*[[ngoma (muziki)|Ngoma]] inaweza kumaanisha muziki unaochezwa na ala hii (angalia [[ngoma (muziki)]]), au [[muziki]] wa aina yoyote.
*Ngoma inaweza kumaanisha [[kucheza na muziki wa ngoma]], au [[kucheza na muziki]] wa aina yoyote.
*Katika [[lugha ya mtaani]], ngoma inaweza kumaanisha [[Virusi vya Ukimwi]] au [[Ukimwi]].
{{maana}}
|