Ngoma (muziki) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Ngoma''' inaoweza kumaanisha [[muziki]] unaochezwana na [[ala ya muziki]] inayoitwa [[ngoma (ala ya muziki)|ngoma]] pia.
 
Ngoma ni muziki na lugha ya pekee inayotumika kwa kuelezea [[utamaduni]] na [[historia]] ya nchi fulani, tunatumia lugha ya ngoma katika kuelezea hali mbalimbali za maisha yetu, kama vile huzuni, furaha, mapenzi, kutia moyo, vitisho, shukurani na ushindi.