Tofauti kati ya marekesbisho "Antoni Maria Claret"

940 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Antonio Claret.jpg|thumb|200px|Mtakatifu Antoni Maria Claret katika mavazi ya kiaskofu.]]
Antoni Maria Claret i Clarà alikuwa [[askofu]] wa [[Kanisa Katoliki]] kutoka [[Hispania]] na [[mwanzilishi]] wa mashirika mawili ya [[utawa|kitawa]] ya kimisionari.
 
Alitangazwa na [[Papa Pius XI]] kuwa [[mwenye heri]] tarehe [[25 Februari]] [[1934]], halafu [[Papa Pius XII]] alimtangaza [[mtakatifu]] tarehe [[7 Mei]] [[1950]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa kila tarehe [[24 Oktoba]].
 
==Maisha==
Antoni Maria Claret alizaliwa huko [[Sallent]], karibu na [[Barcelona]] (katika [[mkoa]] wa [[Catalonia]] nchini [[Hispania]]) tarehe [[23 Desemba]] [[1807]], akiwa mtoto wa mtengeneza [[sufu]].
 
[[Jamii:Watakatifu wa Hispania]]
[[Jamii:Watakatifu wa Cuba]]
 
[[ca:Antoni Maria Claret i Clarà]]
[[de:Antonius Maria Claret]]
[[en:Anthony Mary Claret]]
[[es:Antonio María Claret]]
[[fr:Antoine-Marie Claret]]
[[io:Antoni Maria Claret]]
[[it:Antonio María Claret y Clarà]]
[[nl:Antonius Maria Claret]]
[[pt:Antônio Maria Claret]]
[[ro:Anton Maria Claret]]
[[ru:Кларет, Антоний Мария]]
[[sv:Antonio María Claret]]
[[ta:அந்தோனி மரிய கிளாரட்]]