Mzungu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: no:Mzungu
d cat -> jamii, replaced: [Category: → [Jamii: (3) using AWB
Mstari 1:
[[Image:Europaeid_typesEuropaeid types.jpg|thumb|350px|'''Wote Wazungu?''' <br>(kutoka kamusi ya Kijerumani ya 1932 "Watu wenye sifa za mbari ya Kiulaya" ]]
[[image:Waingereza_WeusiWaingereza Weusi.PNG|thumb|350px|'''Wote Watu wa Ulaya lakini si wazungu! '''(Waingereza wazawa mbunge Diane Abbott, mwigizaji wa filamu Adewale Akinnuoye-Agbaje, waziri Paul Boateng, modeli Naomi Campbell, mwimbaji Craig David)]]
 
'''Mzungu''' ni neno la Waswahili kumtaja mtu anayeonekana ametoka [[Ulaya]].
Mstari 20:
Asili ya neno haijulikani kikamilifu.
 
Inaonekana kuna uhusiano na neno mzungu / mizungu lisilo kawaida tena katika Kiswahili cha kisasa lakini limetunzwa katika [[kamusi za Kiswahili]] zilizokusanya maneno yao mnamo mwaka 1900. Lilimaanisha mambo mbalimbali kama vile 1) kitu cha ajabu au cha kushangaza, 2) mbinu wa kujiondoa katika tatizo, 3) aina ya [[muhogo]], 4) silika au akili ya wanyama.<ref>kamusi ya [[M-J SSE]] "Mzungu (B)"</ref> Waswahili waliwahi kutumia neno "mzungu" kwa "akili" na pia kwa mafundisho ya "[[unyago]]" yaliyoitwa "kufundishwa mizungu". <ref>kamusi ya [[Carl Velten]], Suaheli Wörterbuch, Suaheli-Deutsch, Berlin 1910, Mzungu II</ref>. Kama asili ya "Wazungu" iko hapa iliweza kumaanisha "watu wa ajabu, wasio kawaida, wenye mbinu nyingi" au "wageni walio tofauti sana".
 
Wengine wamehisi kwa utani ya kwamba kuna uhusiano na kitenzi "kuzunguka" na "mzungu" ilitaka kutaja tabia ya wapelelezi, wamisionari na wafanyabiashara wa kwanza kutoka Ulaya ambao hawakukaa mahali pamoja bali kuzungukazunguka kote Afrika.
Mstari 26:
==Marejeo==
<references/>
 
[[Category:Fasihi]]
[[CategoryJamii:WatuFasihi]]
[[CategoryJamii:BinadamuWatu]]
[[Jamii:Binadamu]]
 
[[en:Mzungu]]