Maana ya maisha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d cat -> jamii, replaced: [Category: → [Jamii: (2) using AWB
Mstari 1:
<!--Editor: please summarize point of view in 2-4 well-linked paragraphs.-->
[[File:Woher kommen wir Wer sind wir Wohin gehen wir.jpg|thumb|right|355px|''Tunatoka Wapi? Sisi ni nini? Tunaenda Wapi?''<br />Mojawapo ya michoro maarufu ya msanii [[Paul Gauguin]] wa kipindi cha baada ya uimpreshonisti.]]
 
 
'''Maana ya maisha''' ni mojawapo ya masuala ya kifalsafa kuhusu madhumuni na umuhimu wa kuwepo duniani au wa maisha kwa jumla. Suala hili linaweza kujitokeza kupitia maswali mengi tofauti yanohusiana, kama vile ''Mbona tumekuwepo?'', ''Maisha yanahusu nini?'' na ''Ni nini maana ya haya yote?''
Line 12 ⟶ 11:
 
Mbadala, mkabala ambapo binadamu ndiye lengo, na si mtazamio unaotumia nguvu za kikozmiki na za kidini ni swali: "Ni nini maana ya maisha yangu?" Thamani ya swali linalohusu kusudi la maisha huweza kuwiana na kuupata ukweli wa mwisho, au hisia za umoja, au hisia ya utakatifu.
 
 
==Maswali na marejeo yake==
Line 44 ⟶ 42:
 
Hata hivyo, sayansi inaweza kutupa muktadha fulani na huiweka baadhi ya mipaka ya mazungumzo kuhusu mada zinazolingana.
 
 
===Umuhimu wa kisaikolojia na thamani katika maisha===
Sayansi huenda ikashindwa kutuambia nini ni cha thamani muhimu maishani, lakini baadhi ya masomo hugusia maswali yanayohusiana: watafiti katika [[saikolojia chanya]] (na, mapema na bila umakini mwingi, katika [[saikolojia]] ya [[binadamu]]) hufanya utafiti kuhusu sababu zinazoleta kuridhika na maisha, <ref>E. Diener, J.J. Sapyta, E. Suh (1998). "Subjective Well-Being Is Essential to Well-Being." ''Psychological Inquiry'', Lawrence Earlbaum</ref> kujihusisha vikamilifu katika shughuli, <ref>Csíkszentmihályi, Mihály (1990). ''Flow: The Balls of Optimal Experience''. New York: Harper and Row. ISBN 0-06-092043-2.</ref> kufanya mchango zaidi kwa kutumia vipawa vya kibinafsi, <ref>Peterson, Christopher; Seligman, Martin (2004). ''Character strengths and virtues: A handbook and classification''. Oxford: Oxford University Press. ISBN 0-19-516701-5.</ref> na maana iliyo na msingi wa kuwekeza katika jambo kubwa kuliko mtu binafsi.<ref>Seligman, M.E.P. (2002). ''Authentic Happiness: Using the New Positive Psychology to Realize Your Potential for Lasting Fulfillment.'' New York: Free Press. ISBN 0-7432-2297-0 (Paperback edition, 2004, Free Press, ISBN 0-7432-2298-9)</ref>
 
Aina moja ya mfumo wa thamani uliopendekezwa na wanaelimunafsia wa jamii, uitwayo kwa upana Nadharia ya Kupambana na Mambo ya Kutisha, inasema kwamba maana yote ya binadamu inatokana na hofu ya kimsingi ya kifo, ambapo maadili yanachaguliwa yanapotusaidia kuepukana na kumbukumbu ya kifo.
Line 54 ⟶ 51:
 
[[Somo la kijamii]] linapima thamani katika ngazi ya kijamii kwa kubuni nadharia kama vile nadharia ya thamani kanuni, [[anomi]], n.k.
 
 
===Asili na hali ya maisha ya kibaiolojia===
Kufanya kazi kwa abayojenesisi hakueleweki kwa ufasaha: nadharia mashuhuri ni pamoja na nadharia ya dunia ya RNA (vitoaji aina sawa katika makao ya RNA) na nadhari ya dunia ya chuma-sulfuri (umetaboli bila Jenitiki). Nadharia ya [[mabadiliko ya viumbe]] haijaribu kuelezea asili ya maisha bali utaratibu ambao viumbe tofauti vimepitia katika kipindi chote cha historia kupitia [[mabadiliko ya ghafla ya kijenitiki]] na uteuzi wa kiasili<ref>[[Charles Darwin]] (1859). ''[[On the Origin of Species]]''.</ref> Wakati wa mwisho wa karne ya 20, kwa kuzingatia ufahamu kutoka [[mtazamo wa mbadiliko wa viumbe unaotegemea jeni haswa]], wanabaiolojia George C. Williams, [[Richard Dawkins]], David Haig, miongoni mwa wengine, wanahitimisha kwamba ikiwa kuna kazi msingi ya maisha, ni kujinakilisha kwa DNA na kuendelea kuwa hai kwa jeni za mtu. <ref name="Dawkins selfish gene">{{cite book |author=[[Richard Dawkins]] |title=[[The Selfish Gene]] |publisher=Oxford University Press |year=1976 |isbn=019857519X}}</ref><ref name="Dawkins river">{{cite book |author=[[Richard Dawkins]] |title=[[River out of Eden]] |publisher=Basic Books |location=New York |year=1995 |isbn=0-465-06990-8}}</ref>
 
Hata hivyo, ingawa wanasayansi wameyachunguza maisha vilivyo Duniani, kuyafafanua [[maisha]] kibayana bado ni changamoto. <ref>[http://www.astrobio.net/news/article226 Astrobiology Magazine: Defining Life]</ref><ref>[http://www.nbi.dk/~emmeche/cePubl/97e.defLife.v3f.html Defining Life, Explaining Emergence<!-- Bot generated title -->]</ref> Kimwili, mtu anaweza kusema kwamba maisha "hula entirofi hasi" <ref>{{cite book | last = Schrödinger | first = Erwin | title = What is Life? | publisher = Cambridge University Press | year = 1944 | isbn = 0-521-42708-8}}</ref><ref>{{cite book | last = Margulis | first = Lynn | coauthors = Sagan, Dorion | title = What is Life? | publisher = University of California Press | year = 1995 | isbn = 0-520-22021-8}}</ref> ambayo inahusu utaratibu ambao waliohai wanapunguza entirofi yao ya kindani kwa gharama ya aina fulani ya nishati inayochukuliwa ndani kutoka mazingira. <ref>{{cite book | last = Lovelock | first = James | title = Gaia – a New Look at Life on Earth | publisher = Oxford University Press | year = 2000 | isbn = 0-19-286218-9}}</ref><ref>{{cite book | last = Avery | first = John | title = Information Theory and Evolution | publisher = World Scientific | year = 2003 | isbn = 9812383999}}</ref>
 
Wanabiolojia kiujumla wanakubaliana kwamba viumbe mbalimbali ni [[mifumo inayojipanga yenyewe]] inayosimamia mazingira ya ndani ili kudumisha hali hii ya mpango, shughuli za kimetaboliki hutumika kutoa nishati, na uzazi unaruhusu maisha kuendelea kwa vizazi vingi. Kawaida, maumbile huwa sikivu kwa uchochezi na habari za kijenitiki huelekea kubadilida kutoka kizazi hadi kizazi ili kuruhusu marekebisho kupitia mabadiliko ya kimwili, hizi sifa huongeza nafasi ya kuishi ya kiumbe binafsi na wazao wake kwa mtiririko huo. <ref> {{cite web|url=http://www2.una.edu/pdavis/BI%20101/Overview%20Fall%202004.htm |title=How to Define Life |accessdate=2008-10-17 |last=Davison |first=Paul G. |publisher=The University of North Alabama }}</ref><ref>Witzany, G. (2007). The Logos of the Bios 2. Bio-Communication. Helsinki, Umweb.</ref>
 
Viwakala visivyokuwa vya seli vinavyozaana, hasa [[virusi]], kwa ujumla si havitazamwi kama viumbe kwa sababu haviwezi kuzaana kwa "kujitegemea" au kuendeza shughuli za kimetaboliki. Pambano hili ni tatizo, ingawa, baadhi ya vimelea na visimbayonti vya ndani ya mwili pia vinaweza kuishi maisha ya kujitegemea.
Astrobaiolojia inajihusisha na masomo ya uwezekano wa kuwa na aina tofauti ya viumbe vyenye uhai katika ulimwengu mwingine, kama vile miundo ya kujinakilisha kutoka vifaa vingine visivyo DNA.
 
 
===Asili na hatma ya mwisho ya ulimwengu===
[[File:CMB Timeline75.jpg|right|268px|thumb|[[upanuzi wa kimetriki wa nafasi]]. Enzi ya kupanda ni kupanuka kwa kivuto cha kimetriki kilichoko upande wa kushoto.]]
 
Ingawa mfano wa Mlipuko Mkubwa ulipambana na mashaka mengi ulipozinduliwa kwa mara ya kwanza, shaka iliyochangiwa na uhusiano na dhana ya dini ya [[uumbaji]], imekuja kuungwa mkono na uchunguzi kadhaa wa kujitegemea. <ref>{{cite book | author = Helge Kragh | title = Cosmology and Controversy | publisher = Princeton University Press | year = 1996 | isbn=069100546X}}</ref> Hata hivyo, fizikia ya sasa inaweza kuelezea tu ulimwengu wa mapema kutoka sekunde 10<sup>_"43</sup> baada yaMlipuko Mkubwa (ambapo muda sufuri unawiana na kipimo joto kinafikia idadi isiyopimika), nadharia fulani ya mvuto wa kikwontamu huenda ikahitajika kurudi nyakati zazaidi. Hata hivyo wanafizikia wengi wamedadisi kuhusu nini kinachoweza kuwa kimetangulia kikomo hiki, na jinsi ulimwengu ulivyoanza. <ref name="Prantzos & Lyle">{{cite book |author=Nikos Prantzos; Stephen Lyle |title=Our Cosmic Future: Humanity's Fate in the Universe |publisher=Cambridge University Press |year=2000 |isbn=052177098X}}</ref> Baadhi ya wanafizikia hudhani kuwa Mlipuko Mkubwa ulitokea kiajali, na wakati kanuni ya kianthropiki inapozingatiwa, mara nyingi hutafsiriwa kama kuashiria kuwepo kwa ulimwengu maridhawa.<ref name="Edwards">{{cite book |author=Rem B. Edwards |title=What Caused the Big Bang? |publisher=Rodopi |year=2001 |isbn=9042014075}}</ref>
Hata hivyo, haijalishi jinsi ulimwengu ulikuja kuwepo, hatma ya binadamu katika ulimwengu huu ni maangamizi kwani - hata kama ubinadamu utaishi muda huo wote - maisha ya kibaiolojia hatimaye yatashindwa kujiendeleza, iwe kupitia Kuthelujika Kukubwa, Kuraruka Kukubwa au Kupasuka Kukubw]. Ni bayana kuwa njia pekee ya kuishi milele itakuwa kuuongoza mtiririko wa nishati kwenye Kiasi cha Kikosimki na kuibadilisha hatma ya ulimwengu. <ref name="Prantzos & Lyle" />{{page number}}
 
===Maswali ya kisayansi kuhusu akili===
Hali ya kweli na asili ya [[fahamu]] na [[akili]] yenyewe pia yanajadiliwa sana katika sayansi. Pengo la maelezo kwa ujumla ni sawia na tatizo gumu la fahamu, na swali la [[nia huru]] pia linaonekana kuwa lenye umuhimu wa kimsingi. Maswala haya hupatikana zaidi katika nyanja ya sayansi koginitivu, [[Sayansi niurolojia]] na [[falsafa ya akili]], ingawa baadhi ya wanabaiolojia wa nyanja ya mabadiliko ya viumbe na wanafizikia wa kinadharia pia wameliashiria swala hilo mno. <ref name="Whitehouse">{{cite book |author=Harvey Whitehouse |title=The Debated Mind: Evolutionary Psychology Versus Ethnography |publisher=Berg Publishers |year=2001 |isbn=1859734278}}</ref><ref name="Gray">{{cite book |author=[[Jeffrey Alan Gray]] |title=Consciousness: Creeping Up on the Hard Problem |publisher=Oxford University Press |year=2004 |isbn=0198520905}}</ref>
 
[[File:Ascent of the Blessed.jpg|125px|right|thumb| ''Kuinuka kwa Watakatifu'' picha iliyochorwa na msanii Hieronymus Bosch. Inaonyesha sehemu inayofanana na pango lenye mwanga na watu wa kiroho, mara nyingi hutajwa katika ripoti za uzoefu wa kukikaribia kifo.]]
Mbinu punguzaji na za kuviondoa vitu, kwa vile Mfano wa Rasimu Nyingi, hudai kwamba fahamu inaweza kuelezewa kikamilifu kupitia Sayansi niurolojia, kupitia utendaji kazi wa [[ubongo]] na [[niuroni]] zake, hivyo basi kushikilia ubaiolojia wa kihalisia. <ref name="Gray" /><ref name="Churchland">{{cite book |author=[[Paul Churchland|Paul M. Churchland]] |title=A Neurocomputational Perspective: The Nature of Mind and the Structure of Science |publisher= MIT Press |year=1989 |isbn=0262531062}}</ref><ref name="Dennett">{{cite book |author=[[Daniel Dennett|Daniel Clement Dennett]] |title=[[Consciousness Explained]] |publisher=Little, Brown and Co. |year=1991 |isbn=0316180661}}</ref>
 
Kwa upande mwingine, baadhi ya wanasayansi, kama vile Andrei Linde, wanadhani kwamba fahamu, kama nafasi-wakati, huenda ikiwa na daraja zake za kindani za uhuru, na kwamba maoni ya mtu binafsi yanaweza kuwa ya halisi kama (au hata halisi kuliko) vifaa tunavyoweza kuviguza na kuviona. <ref name="Barrow, Davies, Harper">{{cite book |author=[[John D. Barrow]]; [[Paul Davies|Paul C. W. Davies]]; Charles L. Harper |title=Science and Ultimate Reality: Quantum Theory, Cosmology and Complexity |publisher=Cambridge University Press |year=2004 |isbn=052183113X}}</ref>
 
Nadharia ambazo hazijabainishwa za fahamu na nafasi-wakati zinaelezea kuhusu fahamu katika kuelezea "nafasi ya vipengele vyenye fahamu", <ref name="Barrow, Davies, Harper" /> mara nyingi zikijumuisha idadi kubwa ya mitazamo ya ziada. <ref name="Millay, Heinze">{{cite book |author=Jean Millay; Ruth-Inge Heinze |title=Multidimensional Mind: Remote Viewing in Hyperspace |publisher=North Atlantic Books |year=1999 |isbn=1556433069}}</ref> Nadharia za sumakuumeme za fahamu zinatatua tatizo lenye vipengele vingi la fahamu katika kusema kwamba eneo la sumakuumeme linalotokana na ubongo ndilo haswa linalobeba fahamu zoefu, hata hivyo kuna kutokubaliana kuhusu kutekelezwa kwa nadharia kama hiyo inayohusu utendaji kazi kwingine kwa akili.<ref>J. McFadden (2002) "[http://www.mindcontrolforums.com/news/electromagnetic-field-theory-of-consciousness.htm Synchronous Firing and Its Influence on the Brain's Electromagnetic Field: Evidence for an Electromagnetic Field Theory of Consciousness]". ''Journal of Consciousness Studies'' '''9''' (4) pp. 23-50.</ref><ref name="Buccheri & Di Gesù & Saniga">{{cite book |author=R. Buccheri; V. Di Gesù; Metod Saniga |title=Studies on the Structure of Time: From Physics to Psycho(patho)logy |publisher=Springer |year=2000 |isbn=030646439X}}</ref>
 
Nadharia za akili za kikwontamu hutumia nadharia ya kwontamu katika kuelezea baadhi ya sifa za akili. Kuelezea mchakato wa [[nia huru]] kupitia vifaa vya [[kwontamu|Kikwontamu]] ni mbadala maarufu badala ya uamulizi, kama nadharia hizo ambazo hazijabainishwa huweza kwa njia mbalimbali kuhusisha nia huru na panda-shuka za kikwontamu, <ref name="Bohm & Hiley">{{cite book |author=[[David Bohm]]; Basil J. Hiley |title=The Undivided Universe: An Ontological Interpretation of Quantum Theory |publisher=Routledge |year=1993 |isbn=0415065887}}</ref> kuongezeka kwa kikwontamu, <ref name="Bruce">{{cite book |author=Alexandra Bruce |title=Beyond the Bleep: The Definitive Unauthorized Guide to What the Bleep Do We Know!? |publisher=The Disinformation Company |year=2005 |isbn=1932857222}}</ref> nguvu za kikwontamu<ref name="Bohm & Hiley" /> na uwezekano wa kikwontamu.<ref name="Libet, Freeman, Sutherland">{{cite book |author=Benjamin Libet; Anthony Freeman; Keith Sutherland |title=The Volitional Brain: Towards a Neuroscience of Free Will |publisher=Imprint Academic |year=1999 |isbn=0907845118}}</ref>
 
Ikitegemea hoja ya maelezo ya akili yasiyoweza kuguzika, baadhi ya watu wamependekeza kuwepo kwa fahamu ya kikozmiki, wakidai kwamba fahamu kwa kweli ndio "msingi wa yote kuwepo".<ref name="Walker"/><ref name="Bruce" /><ref name="Ho">{{cite book |author=[[Mae-Wan Ho]] |title=The Rainbow and the Worm: The Physics of Organisms |publisher=World Scientific |year=1998 |pages=218–231 |isbn=9810234279}}</ref> Wanaouunga mkono mtazamo huu wanaelezea kuhusu [matukio yasiyo vya kawaida, haswa uwezo wa kuhisi usio wa kawaida na uwezo wa kuyasoma mawazo kama ushahidi wa kuwepo kwa fahamu ya juu isiyoeleweka. Katika matumaini ya kuthibitisha kuwepo kwa mambo haya yasiyokuwa ya kawaida, wanaelimu nafsia wa mambo yasiyo ya kawaida wamefanya majaribio mbalimbali. Uchambuziwa unaoangalia mambo yote yaliyopo unaonyesha kuwa idadi ya wenye nguvu zisizo za kawaida (ingawa ndogo sana) kwa ulinganishaji imebaki thabiti, hivyo kusababisha takwimu zenye umuhimu kiujumla.<ref name=Radnin97>{{cite book |last=Radin |first=Dean |authorlink = |title=The Conscious Universe: The Scientific Truth of Psychic Phenomena |publisher=HarperSanFrancisco |year=1997 |isbn=0062515020}}</ref><ref name=Dunne>{{cite journal |last=Dunne |first=Brenda |authorlink= |coauthors=Jahn, Robert G. |title=Does psi exist? Replicable evidence for an anomalous process of information transfer |journal=Journal of Scientific Exploration |volume=17 |issue=2 |pages=207–241 |year=2003 |url=http://www.scientificexploration.org/jse/abstracts/v17n2a1.php |accessdate=2007-07-31 |format={{Dead link|date=April 2009}} &ndash; <sup>[http://scholar.google.co.uk/scholar?hl=en&lr=&q=author%3ADunne+intitle%3ADoes+psi+exist%3F+Replicable+evidence+for+an+anomalous+process+of+information+transfer&as_publication=Journal+of+Scientific+Exploration&as_ylo=2003&as_yhi=2003&btnG=Search Scholar search]</sup>}}</ref><ref name=Dunne85>{{cite journal |last=Dunne |first=Brenda J. |authorlink= |coauthors=Jahn, Robert G. |title=On the quantum mechanics of consciousness, with application to anomalous phenomena |journal=Foundations of Physics |volume=16 |issue=8 |pages=721–772 |year=1985 |url=http://www.springerlink.com/content/vtrr87tg356154r7/ |doi=10.1007/BF00735378|accessdate=2007-07-31}}</ref> Ingawa baadhi ya wachambuzi wakosoaji wanahisi kuwa somo la kielimunafsia isiyo ya kawaida ni la [[kisayansi]], hawaridhishwi na matokeo ya majaribio yake.<ref name=Alcock03>{{cite journal |last=Alcock |first=James E. |authorlink= |coauthors=Jahn, Robert G. |title=Give the Null Hypothesis a Chance |journal=Journal of Consciousness Studies |volume=10 |issue=6-7 |pages=29–50 |year=2003 |url=http://www.imprint.co.uk/pdf/Alcock-editorial.pdf |format=PDF |accessdate=2007-07-30}}</ref><ref name=Hyman>{{cite journal |last=Hyman |first=Ray |title=Evaluation of the program on anomalous mental phenomena |journal=The Journal of Parapsychology |volume=59 |issue=1 |year=1995 |url=http://findarticles.com/p/articles/mi_m2320/is_n4_v59/ai_18445600 |accessdate=2007-07-30}}</ref>
Line 97 ⟶ 92:
==Falsafa za Kale za Kigiriki==
[[File:Sanzio 01 Plato Aristotle.jpg|thumb|160px|right|Plato na Aristotle katika ''Shule ya Atheni'' waliyochorwa ukutani na msanii [[Raffaello]].]]
 
 
====Uplato====
Line 103 ⟶ 97:
[[Plato]] alikuwa mmoja wa wanafalsafa wa mwanzo, na mwenye ushawishi mwingi hadi wa leo - hasa kwa uhalisia kuhusu kuwepo kwa viulimwengu. Katika Nadharia ya Maumbo, viulimwengu havipo kimwili, lakini kama vyombo, lakini vipo katika maumbo ya kipepo au kimbingu. Katika ''[[Jamhuri ya Plato|Jamhuri]]'', mazungumzo ya mhusika wa [[Socrates]] inaelezea Umbo la Zuri. Wazo la Zuri ni ''ekgonos'' (wazawa) Wa Zuri, jambo la kimaadili, Hali kamili ya uzuri, hivyo basi kipimo cha kiujumla cha haki.
Katika falsafa ya Kiplato, maana ya maisha ni kufikia umbo la juu zaidi la elimu, ambalo ni Wazo (Umbo) ya Zuri, ambapo yote mema na ya haki yanatoa umuhimu na thamani. Binadamu wamefungwa kwa wajibu wa kuyatekeleza mazuri, lakini hakuna yeyote anayeweza kufanikiwa katika harakati hiyo bila fikira za kifalsafa, ambazo zinaruhusu elimu ya kweli.
 
 
 
====Uaristoteli====
Line 115 ⟶ 107:
Katika [[kipindi cha Kigiriki]] wanafalsafa wa shaka walisema kuwa lengo la maisha ni kuishi maisha ya fadhila yanayowiana na [[viumbe]] wengine. Furaha inategemea kujitegemea na kuusimamia mtazamo wa kiakili; mateso yanatokana na maamuzi ya uongo kuhusu thamani, ambayo husababisha hisia mbaya na aidha tabia ya uhasama.
 
Maisha ya shaka yanakataa tamaa za kawaida za mali, nguvu, [[afya]], na umaarufu, kwa kuwa huru kutoka vitu vinavyopatikana katika kuyatafuta ya kawaida. <ref>Kidd, I., "''Cynicism''," in ''The Concise Encyclopedia of Western Philosophy.'' (ed. [[J. O. Urmson]] and [[Jonathan Rée]]), Routledge. (2005)</ref><ref>Long, A. A., "''The Socratic Tradition: Diogenes, Crates, and Hellenistic Ethics,''" in ''The Cynics: The Cynic Movement in Antiquity and Its Legacy.'' (ed. Branham and Goulet-Cazé), University of California Press, (1996).</ref> Kama viumbe vyenye uwezo wa kufikiria, watu wanaweza kufanikisha furaha kupitia mafunzo kabambe, kwa kuishi katika njia iliyo ya kiasili kwa [[binadamu]]. [[Dunia]] ni ya kila mtu katika kiwango sawa, hivyo [[mateso]] yanasababishwa na uamuzi wa uongo kuhusu kile ambacho ni cha thamani na kile ambacho hakina maana kulingana na [[tamaduni]] na itikadi za [[jamii]].
 
Maisha ya shaka yanakataa tamaa za kawaida za mali, nguvu, [[afya]], na umaarufu, kwa kuwa huru kutoka vitu vinavyopatikana katika kuyatafuta ya kawaida. <ref>Kidd, I., "''Cynicism''," in ''The Concise Encyclopedia of Western Philosophy.'' (ed. [[J. O. Urmson]] and [[Jonathan Rée]]), Routledge. (2005)</ref><ref>Long, A. A., "''The Socratic Tradition: Diogenes, Crates, and Hellenistic Ethics,''" in ''The Cynics: The Cynic Movement in Antiquity and Its Legacy.'' (ed. Branham and Goulet-Cazé), University of California Press, (1996).</ref> Kama viumbe vyenye uwezo wa kufikiria, watu wanaweza kufanikisha furaha kupitia mafunzo kabambe, kwa kuishi katika njia iliyo ya kiasili kwa [[binadamu]]. [[Dunia]] ni ya kila mtu katika kiwango sawa, hivyo [[mateso]] yanasababishwa na uamuzi wa uongo kuhusu kile ambacho ni cha thamani na kile ambacho hakina maana kulingana na [[tamaduni]] na itikadi za [[jamii]].
 
 
====Usairini====
Falsafa ya usairini, iliyoanzishwa na Aristippus wa Sairini, ilikuwa ni shule ya mapema ya Kisokratiki iliyotilia maanani upande mmoja tu wa mafundisho ya Socrates - kwamba furaha ni tokeo moja la mwisho wa hatua za kimaadili na kwamba radhi ni zuri kuu; hivyo basia mtazamo wa dunia wa kuipenda raha pekee ambapo kutimiza tamaa za mwili ni za faida zaidi kuliko radhi ya akili. Wasairini wanapendelea kutimiza tamaa haraka kuliko faida inayopatikana baada ya kusubiri kwa kipindi kirefu; kunyimwa ni huzuni mbaya.<ref>"Cyrenaics." Internet Encyclopedia of Philosophy. The University of Tennessee At Martin. 4 Nov. 2007 <http://www.iep.utm.edu/>.</ref><ref>"The Cyrenaics and the Origin of Hedonism." Hedonism.org. BLTC. 4 Nov. 2007 <http://www.hedonism.org>.</ref>
 
 
====Uepikurea====
Line 128 ⟶ 117:
Kwa [[Epicurus]], jambo zuri kwa yote ni katika kutafuta raha za wastani, kupata utulivu na uhuru kutoka hofu (“ataraxia”) kupitia maarifa, urafiki, na wema, kuishi kwa kujichunga; maumivu ya kimwili (“aponia”]]) hayapo kupitia maarifa ya mtu kuhusu hali ya dunia na mipaka ya matamanio ya mtu. Zikiwa pamoja, uhuru kutoka maumivu na uhuru kutoka hofu ni furaha kuu. Kusifu kwa Epicurus kwa kufurahia anasa ambazo hazijapita kiasi kunakaribia dhana ya "kujiepusha" na raha zote kama vile ngono na anasa:
 
<blockquote>Tunaposema...kuwa radhi ndio mwisho na lengo, hatumaanishi raha za upotevu au raha za kimwili, jinsi tunavyoeleweka kufanya, na wachache, kupitia ujinga, ubaguzi au kudanganya kimakusudi. Tukisema radhi tunamaanisha kutokuwepo kwa maumivu mwilini na taabu katika nafsi. Si kwa mfululizo wa ulevi na kuponda raha, si kwa tamaa ya ngono, wala kufurahia utamu ya samaki, na vyakula vingine vitamu kutoka meza iliyojaa vinono, ambazo huzalisha maisha mazuri; ni fikira za kimakini, kutafuta nje ya misingi ya kila uchaguzi na kuepuka, na kuikataa mitazamo ambayo hufanya shida kubwa kuichukua nafsi. <ref>[[Epicurus]], "Letter to Menoeceus", contained in Diogenes Laertius, <em>''Lives of Eminent Philosophers</em>'', Book X</ref></blockquote>
 
Maana ya Kiepikurea ya maisha inakataa kutokufa na dhana ya maisha mengine mbali na haya ya duniani; kuna nafsi, lakini inaweza kufa kama mwili. Hakuna maisha baada ya kifo, ingawa, mtu hafai kuogopa kifo, kwa sababu "Kifo si chochote kwetu, kwani yale ambao hunywea, ni bila hisia, na kile ambacho hakina hisia si chochote kwetu."<ref name="Russel">[[Bertrand Russell]] (1946). ''[[History of Western Philosophy (Russell)|A History of Western Philosophy]]'', New York: Simon and Schuster; London: George Allen and Unwin</ref>
Line 143 ⟶ 132:
Uhuru kutoka mipango ya kimali ya kijamii ni seti ya mawazo yaliyoibuka katika karne za 17 na 18, kwa sababu ya migogoro kati ya waliozidi kuwa matajiri, waliokuwa na mali, na utaratibu wa viongozi matajiri na watu wa dini yaliyochukua nafasi kubwa barani Ulaya. Uhuru kutoka mipango ya kimali ya kijamii ulionyesha binadamu kama viumbe wenye [[haki]] walizozaliwa nazo na wasizowezwa kunyimwa (pamoja na haki ya mtu kubaki na mali yanayotokana na kazi ya kibinafsi), na ilitafuta mbinu za kupima haki kwa sawa katika jamii yote. Kiujumla, inatazama [[uhuru]] wa [[kibinafsi]] kuwa kama lengo kuu,<ref>A: "'Liberalism' is defined as a social ethic that advocates liberty, and equality in general." – [[C. A. J. (Tony) Coady]] ''Distributive Justice'', A Companion to Contemporary Political Philosophy, editors Goodin, Robert E. and Pettit, Philip. Blackwell Publishing, 1995, p.440. B: "Liberty is not a means to a higher political end. It is itself the highest political end." – [[John Dalberg-Acton, 1st Baron Acton|Lord Acton]]</ref> kwa sababu tu kupitia hakikisho la uhuru ndio haki zingine zilizojikita kwa undani zinapolindwa.
Kuna aina nyingi ya dhana ya uhuru kutoka mipango ya kimali ya kijamii, lakini dhana zao kuu kuhusu maana ya maisha zinaambatana na dhana tatu msingi. Wanafalsafa wa awali kama vile [[John Locke]], [[Jean-Jacques Rousseau]] na [[Adam Smith]] waliona binadamu akianza katika hali ya kimaumbile, kisha akitafuta maana kuwepo kupitia ajira na mali, na kutumia [[mkataba wa kijamii|mikataba ya kijamii]] ili kujenga mazingira ambayo yanasaidia juhudi hizo.
 
 
====Ukanti====
Line 154 ⟶ 142:
 
===Falsafa za [[karne ya 19]]===
 
====Utumikaji====
[[File:Jeremy Bentham by Henry William Pickersgill detail.jpg|right|thumb|120px|Jeremy Bentham]]
Asili ya utumikaji inaweza chapwa nyuma mbali hadi [[Epicurus]], lakini, kama shule ya mawazo, inahusishwa na [[Jeremy Bentham]],<ref>Rosen, Frederick (2003). ''Classical Utilitarianism from Hume to Mill''. Routledge, pg. 28. ISBN 0415220947 "It was Hume and Bentham who then reasserted most strongly the Epicurean doctrine concerning utility as the basis of justice."</ref> ambaye aligundua kuwa ''asili imemuweka mtu chini ya utawala wa mabwana wawili wa kujitegemea, maumivu na raha'', basi, kutokana na busara hiyo ya kimaadili, na kuiunda ''Sheria ya Utumizi'' ''kwamba wema ni chochote ambacho huleta furaha nyingi zaidi kwa idadi kubwa zaidi ya watu''. Alifafanua maana ya maisha kama "kanuni ya furaha nyingi zaidi".
 
[[Jeremy Bentham]] aliungwa mkono sana na James Mill, mwanafalsafa muhimu katika siku zake, na babake [[John Stuart Mill]]. Mill mdogo alifunzwa kulingana na kanuni za Bentham, pamoja na kunakili na kufupisha maandishi mengi ya baba yake. <ref name="Mill">Mill, John Stuart. 'On Liberty', ed. Himmelfarb. Penguin Classics, 1974, Ed.'s introduction, p.11.</ref>
 
====Umaksi====
Line 167 ⟶ 154:
Ubatili wa vyote ni falsafa inayokataa madai kuwa yeyote ana [[maarifa]] na ukweli, na hivyo inapeleleza umuhimu wa kuwepo bila ukweli unaoweza kujulikana. Badala ya kusisitiza kwamba maadili yanabadilika kulingana na mtu, na huenda yasipewe sababu, mbatilivyote anasema: "Hakuna kitu chenye thamani", maadili hayana thamani, hutumika tu kama maadili ya uongo ya jamii.
 
[[Friedrich Nietzsche]] aliutambulisha ubatilivyote kama kuifanya dunia kuwa tupu, na hasa kuwepo kwa binadamu, kwa maana, kusudi, ukweli wa kueleweka, na thamani muhimu; kwa ufupi, ubatili wa vyote ni mchakato wa "kuyafanya maadili makuu yasiwe na thamani".<ref name="Bindé">{{cite book|author=Jérôme Bindé|title=The Future Of Values: 21st-Century Talks|publisher=Berghahn Books|year=2004|isbn=1571814426}}</ref> Kumuona kama mbatili wa vyote kama matokeo ya kiasili ya wazo kwamba Mungu amekufa, na kusisitiza kuwa ni kitu kilichokuwa kinafaa kushindwa, maswali ya Nietzsche kuhusu maadili ya kuyakataa maisha ya ubatili wa vyote, kuliirudisha maana Duniani. <ref name="Reginster">{{cite book |author=Bernard Reginster |title=The Affirmation of Life: Nietzsche on Overcoming Nihilism |publisher=Harvard University Press |year=2006 |isbn=0674021991}}</ref>
 
[[File:MARTIN John Great Day of His Wrath.jpg|thumb|left|''Mwisho wa Dunia'', picha iliyochorwa na msanii John Martin.]]
Kwa [[Martin Heidegger]], falsafa ya ubatili wa vyote ni harakati ambapo "kuwa" kunasahaulika, na kugeuzwa kuwa thamani, kwa maneno mengine, kupunguzwa kwa kuwa hadi thamani ya ubadilishanaji.<ref name="Bindé" /> Heidegger, kama Nietzsche, aliona katika lile lililodaiwa kuwa "kifo cha Mungu" chanzo cha ubatilivyote kuibuka:
 
<blockquote>Kama Mungu, ambaye ndiye lengo na msingi unaozidi yanayoweza kuhisika, wa ukweli wote, amekufa; kama ulimwengu unaozidi yanayoweza kuhisika wa Mawazo umeumizwa kwa kupoteza nguvu zake za kilazima za kujijenga juu, na juu ya hayo, za kuipa nguvu zaidi, basi hakuna chochote kinachobaki ambacho Mtu anaweza shikilia, na ambacho anaweza tumia kuitafuta njia. <ref>Heidegger, "The Word of Nietzsche," 61.</ref></blockquote>
 
Mdhanaishi [[Albert Camus]] anadai kuwa mkanganyo wa hali ya binadamu ni kwamba watu wanatafuta maadili ya nje na maana katika dunia ambayo haina maana yoyote, na ambayo haiwajali. Camus anaandika kuhusu wabatilivyote wa thamani kama Meusrault,<ref>Camus (1946) ''L'Etranger''</ref> na pia kuhusu maadili katika ulimwengu wa kuyabatili yote, kwamba watu wanaweza badala yake kujitahidi kuwa "wabatilivyote wa kishujaa", wanaoishi na hadhi wanapopambana na mkanganyiko, kuishi kwa "utakatifu wa kidunia", mshikamano wa kindugu, na kuuasi na kupambana dhidi ya kutojali kwa dunia.<ref>Camus (1955) ''The Myth of Sisyphus''</ref>
Line 196 ⟶ 183:
 
====Ukanganyikaji====
[[Albert Camus]], mwanafalsafa wa [[Kifaransa]] na Kialgeria ambaye mara nyingi anahusishwa na udhanaishi lakini ambaye alilikataa neno hilo kabisa, <ref>{{cite book |last=Solomon |first=Robert C. |authorlink=Robert C. Solomon |title=From Rationalism to Existentialism: The Existentialists and Their Nineteenth Century Backgrounds |publisher=[[Rowman and Littlefield]] |date=2001 |page=245 |isbn=074251241X}}</ref> ana umaarufu kwa kudokeza nadharia yake ya mkanganyiko. Kulingana na ukanganyikaji, kuna ukosefu wa umoja wa kimsingi unaotokana na kuwepo kwa ushirikiano wa binadamu na ulimwengu. Mtu ana hamu ya mpango, maana, na kusudi katika maisha, lakini ulimwengu haujali na hauna maana; mkanganyo unatokana na mgogoro huu.
 
Kama viumbe vinavyotafuta matumaini katika dunia isiyokuwa na maana, Camus anasema kuwa binadamu wana njia tatu za kuutatua mtanziko.
*[[Kujiua]]: ufumbuzi wa kwanza wa mtanziko ni mtu kuyakomesha maisha yake. Camus anakataa chaguo hili kama la woga.
 
* [[Imani]] ya kidini katika ulimwengu Upitao Fikira: imani ya namna hii huenda ikadokeza kuwepo kwa ulimwengu ambao umezidi ya kukanganya, na, kwa hivyo, una maana. Camus anaita ufumbuzi huu "kujiua kifalsafa" na anaukataa kwa sababu ni sawa na kuangamizwa kwa fikira, ambayo kwa maoni yake ni janga sawa na kujiua kimwili.
 
*Kubali ya kukanganya: Kulingana na Camus, huu tu ndio ufumbuzi wa kweli. Ni kukubali na hata kukumbatia mkanganyo wa maisha na kuendelea kuishi. Ya kunganya ni tabia muhimu ya hali ya kibinadamu, na njia pekee ya kweli ya kukabiliana na hili ni kuyakubali haya kwa ujasiri. Kulingana na Camus, tunaweza "kuishi maisha bora zaidi ikiwa hayana maana."<ref>[http://www.iep.utm.edu/c/camus.htm#SSH5a.i Albert Camus at the Internet Encyclopedia of Philosophy] Accessed May 25th, 2009</ref>
Line 210 ⟶ 197:
Kulingana na Ubinadamu wa kidunia, wanadamu walitokana na kuzaana katika maendeleo ya mabadiliko ambayo hayakuongozwa kama sehemu muhimu ya maumbile, ambayo huishi yenyewe.<ref name=humanifesto1>{{cite web |title=[[Humanist Manifesto I]]] [http://www.americanhumanist.org/about/manifesto1.html url=http://www.americanhumanist.org/about/manifesto1.html |work=American Humanist Association |year=1933 |accessdate=2007-07-26}}</ref><ref name=humanifesto2>{{cite web |title=[[Humanist Manifesto II]]] [http://www.americanhumanist.org/about/manifesto2.html work=American Humanist Association |year=1973 |url=http://www.americanhumanist.org/about/manifesto2.html |accessdate=2007-08-01}}</ref> Maarifa hayatoki kutoka vyanzo vyenye nguvu visivyo vya kawaida, lakini kutoka uchunguzi wa binadamu, majaribio, na uchambuzi wa kimantiki([[mbinu ya kisayansi]]): asili ya [[ulimwengu]] ni kile ambacho watu huitambua kuwa.<ref name=humanifesto1 /> Aidha, "[[maadili]] na ukweli" yanadhamiriwa "kwa njia ya uchunguzi wa kiakili"<ref name=humanifesto1 /> na "yanatokana na mahitaji ya binadamu na hamu kama ilivyopimwa na uzoefu", yaani kupitia akili yenye uchambuzi.<ref name=humanifesto3>{{cite web |title=[[Humanist Manifesto III]]] [http://www.americanhumanist.org/3/HumandItsAspirations.php work=American Humanist Association |year=2003 |url=http://www.americanhumanist.org/3/HumandItsAspirations.php |accessdate=2007-08-01}}</ref><ref name=CDSH>{{cite web |title=[[A Secular Humanist Declaration]]] [http://www.secularhumanism.org/index.php?section=main&page=declaration work=Council for Democratic and Secular Humanism (now the Council for Secular Humanism) |year=1980 |url=http://www.secularhumanism.org/index.php?section=main&page=declaration |accessdate=2007-08-01}}</ref> "Kulingana na yale tunayojua, tabia za mtu kiujumla ni [chanzo] cha kiumbe cha kibiolojia kinachoendesha shughuli zake katika muktadha wa kijamii na kiutamaduni."<ref name=humanifesto2 />
 
Watu huamua kusudi la binadamu, bila ya ushawishi wa kiMungu; ni tabia ya binadamu, (hisia ya kijumla) ambayo ni lengo ya maisha ya binadamu; Utu unataka kuendeleza na kutimiza: <ref name=humanifesto1 /> "Utu husisitiza uwezo wetu, na uwajibikaji wetu, kuishi maisha ya kimaadili yenye utimilifu wa binafsi yanayolenga mema makuu ya ubinadamu ".<ref name=humanifesto3 /> Wanautu huendeleza kufunguliwa kifikra ili kuyashughulikia maslahi ya kibinafsi na yenye manufaa kwa watu wote. Furaha ya mtu binafsi ni inahusishwa kwa njia isiyoweza kubadilishwa na ustawi wa binadamu, kwa uzima, kwa sehemu, kwa sababu sisi ni wanyama wanaolazimika kuishi katika jamii, ambayo hupata maana kutokana na uhusiano wa karibu, na kwa sababu maendeleo ya kitamaduni humnufaisha kila mtu katika [[utamaduni]].<ref name=humanifesto2 /><ref name=humanifesto3 />
Falsafa ndogo za utu wa baadaye na utu unaopita yote (ambazo wakati mwingine hutumiwa kimbadala) ni panuzi wa maadili ya kiutu. Mtu anapaswa kutafuta maendeleo ya ubinadamu na ya maisha yote] kwa kiasi kikubwa kiwezekanavyo ili kupatanisha Utu wa Kirainasansi na utamaduni wa karne ya ishirini wa kisayasansi na kiteknolojia, hivyo, kila kiumbe hai ana haki ya kuamua "maana ya maisha kibinafsi" kwa mtazamo wa kijamii na kibinafsi.<ref>{{cite web| author=[[Nick Bostrom]] |title=Transhumanist Values |work=[[Oxford University]] |year=2005 |url=http://www.nickbostrom.com/ethics/values.html |accessdate=2007-07-28}}</ref>
Line 222 ⟶ 209:
Mambo (watu, matukio) katika maisha ya mtu yanaweza kuwa na maana (umuhimu) kama sehemu ya uzima, lakini maana isiyobainika wazi ya maisha (hayo), yenyewe, mbali na mambo hayo, haiwezi kubainika. Maisha ya mtu yana maana (kwake mwenyewe, wengine) kama matukio ya maisha yanayotokana na mafanikio yake, urithi, familia, na kadhalika, lakini, kusema kwamba maisha, yenyewe, yana maana, ni matumizi mabaya ya lugha, kwani yoyote ya umuhimu, au ya mwisho, ni muhimu tu "katika" maisha (kwa walio hai), hivyo basi kuifanya taarifa iwe ya kimakosa. [[Bertrand Russell]] aliandika kwamba ingawa alipata kwamba chuki yake ya mateso haikuwa kama chuki yake ya mboga ya brokoli, hakupata utaratibu wowote wa kuridhisha, na wa kupimika wa kuthibitisha hili:<ref name="Russel"/>
 
<blockquote> Tunapojaribu kuwa na uhakika, kulihusu kile tunachomaanisha tunaposema kuwa hiki au kile ndicho "Zuri," sisi hujipata katika matatizo makubwa sana. Tamko la Bentham, kwamba radhi ndiyo Zuri, lilizua upinzani mkali, na ilisemekana kuwa falsafa ya nguruwe. Yeye na wapinzani wake walishindwa kuibua hoja zozote. Katika swali la kisayansi, ushahidi unaweza kupatikana kutoka pande zote mbili, na mwishowe, upande mmoja unabainika kuwa na hoja bora - au, kama hili halitokei, swali linabaki kama halijajibiwa. Lakini katika swali, kuhusu ikiwa hili, au hilo, ndilo mwisho Mzuri, hakuna ushahidi, kwa vyovyote vile; kila mtetezi anaweza kupendekeza tu hoja kulingana na hisia zake, na kutumia vifaa vya ushawishi ambavyo vitaibua hisia sawa katika wengine. . . Maswali kuhusu "maadili" - yaani, kuhusu kile ambacho chenyewe ni kizuri kibaya , bila kutilia maanani madhara yake - yanapatikana nje ya uwanja wa sayansi, jinsi watetezi wa dini wanavyodai kwa msisitizo. Nadhani kwamba, katika hili, wako sawa, lakini, mimi napata hitimisho zaidi, ambalo hawapati, kwamba maswali kuhusu "maadili" yanapatikana kabisa nje ya uwanja wa maarifa. Hiyo ni kusema, tunaposema kwamba hili, au lile, lina "thamani", sisi tunaeleza tu hisia zetu wenyewe, si ukweli, ambao bado ungalikuwa kweli ikiwa hisia zetu za binafsi zingalikuwa tofauti. <ref>[[Bertrand Russell]] (1961). [http://www.solstice.us/russell/science-ethics.html ''Science and Ethics'']</ref></blockquote>
 
====Baada ya usasa====
Line 262 ⟶ 249:
Katika mtazamo wa ulimwengu wa Kiyahudi, maana ya maisha ni kumtumikia Mungu mmoja wa kweli na kujiandaa kwa ulimwengu ujao.<ref name="Cohn-Sherbok">{{cite book |author=Dan Cohn-Sherbok |title=Judaism: History, Belief, and Practice |publisher=Routledge |year=2003 |isbn=0415236614}}</ref><ref name="Heschel">{{cite book |author=Abraham Joshua Heschel |title=Heavenly Torah: As Refracted Through the Generations |publisher=Continuum International Publishing Group |year=2005 |isbn=0826408028}}</ref> Fikira za "Olam Haba"<ref name="Shuchat">{{cite book |author=Wilfred Shuchat |title=The Garden of Eden & the Struggle to Be Human: According to the Midrash Rabbah |publisher=Devora Publishing |year=2006 |isbn=1932687319}}</ref> ni kuhusu kujiinua kiroho, kuunganika na Mungu katika kujiandaa kwa ajili ya "Olam Haba"; Fikira za Kiyahudi ni mtu kutumia "Olam Hazeh" (dunia hii) ili kujiinua mwenyewe.
<ref name="Braham">{{cite book |author=Randolph L. Braham |title=Contemporary Views on the Holocaust |publisher=Springer |year=1983 |isbn=089838141X}}</ref>
 
 
====Ukristo====
Line 288 ⟶ 274:
 
Mtume Paulo pia analijibu swali hili katika hotuba yake ya Areopagus mjini Atheni: "Kutokana na mtu mmoja alifanya kila taifa la wanadamu, kwamba wanapaswa kuishi duniani kote; na akapima nyakati haswa zilizowekwa kwao na mahali ambapo wanapaswa kuishi. Mungu alifanya hivyo ili binadamu amtafute na labda kuuonyosha mkono nje kwa ajili yake na kumpata, ingawa hayupo mbali kutoka kila mmoja wetu. ([[Mdo]] 17:26-27)<ref>[[Bible]], [[Acts]] 17:26-27, [[NKJV]]</ref>
 
 
====Uislamu====
Line 421 ⟶ 406:
 
===Kifalsafa===
* [http://www.einstein-website.de/z_biography/credo.html Einstein's credo]
* [http://plato.stanford.edu/entries/life-meaning/ "The Meaning of Life" in the Stanford Encyclopedia of Philosophy]
* [http://rationalphilosophy.net/meaning-of-life/ An Objective Philosophy: Why We Exist?] &ndash; by Martin G. Walker.
Line 436 ⟶ 421:
* [http://www.mormon.org Answers to Life's questions] &ndash; by [[The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints]]
* [http://www.humanmindmap.net Human life on earth - A Spiritual Perspective] &ndash; by [[New age]]
 
[[Category:Dini]]
[[Category:Falsafa]]
 
--'''[[Mtumiaji:Perijove|Perijove]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Perijove|majadiliano]])''' 12:17, 21 Januari 2010 (UTC)
 
[[CategoryJamii:Dini]]
[[CategoryJamii:Falsafa]]
 
[[af:Sin van die lewe]]