Upadri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: Upadri ni daraja ya kati ya uongozi wa Kanisa Katoliki na madhehebu mengine kadhaa. Unatolewa na Askofu kwa kumwekea mtu mikono kichwani na kumuombea ili atoe huduma za kikuhani, h...
 
d cat -> jamii, replaced: [Category: → [Jamii: (4) using AWB
Mstari 1:
'''Upadri''' ni daraja ya kati ya uongozi wa [[Kanisa Katoliki]] na madhehebu mengine kadhaa. Unatolewa na [[Askofu]] kwa kumwekea mtu mikono kichwani na kumuombea ili atoe huduma za kikuhani, hasa kwa kuhubiri rasmi Neno la Mungu, kuadhimisha Ekaristi na [[sakramenti]] nyingine na kuongoza jumuia za waamini. Upadri unatolewa kwa namna ya kudumu, usiweze kurudiwa wala kufutwa.
 
[[CategoryJamii:Dini]]
[[CategoryJamii:Ukristo]]
[[CategoryJamii:Kanisa]]
[[CategoryJamii:Kanisa Katoliki]]
 
[[ca:Prevere]]