Uumbaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d cat -> jamii, replaced: [Category: → [Jamii: (2) using AWB
Mstari 1:
'''Uumbaji''' ni tendo linalosadikika analiweza Mwenyezi [[Mungu]] tu kwa sababu ni kusababisha kitu kuwepo kutoka utovu wa vyote. Hivyo vitu vyote vimeanza kuwepo kwa uwezo wake tu, ingawa kwa kawaida vinatokana na vile vilivyotangulia (k.mf. wazazi).
 
==Uumbaji katika Biblia==
Mstari 17:
Hali yake asili ilikuwa ya kupendeza kabisa kwa usafi wa moyo na uhai usio na mwisho, naye alitakiwa akubali kazi za Mungu na kufuata maneno yake, bila ya kujiamulia nini jema, nini baya.
 
[[CategoryJamii:Dini]]
[[CategoryJamii:Biblia]]
 
[[bg:Сътворение на света]]