Tako la bara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
mbegu-sayansi
d cat -> jamii, replaced: [Category: → [Jamii: using AWB
Mstari 1:
[[Image:Tako la bara.png|right]]
[[Image:Elevation.jpg|thumb|400px|Ramani ya dunia; sehemu za bahari ya takoni zaonyeshwa kwa buluu nyeupe]]
'''Tako la bara''' ni sehemu ya [[bara]] iliyoko chini ya maji ya [[bahari]]. Sehemu ya bahari hadi ya kina cha maji cha mita 200 huitwa "bahari ya takoni". Kwa wastani lina upana wa 70 - 80  km. Lakini kuna matako yenye upana wa kilomita zaidi ya 1,000 kama huko [[Siberia]] au nyembamba sana kama huko [[Kenya]].
 
Kanda hili la tako lazungusha kila bara. Katika historia ya dunia sehemu hizi ziliwahi kuwa nchi kavu katika vipindi ambako hali ya hewa ilikuwa baridi zaidi na kiasi kikubwa cha maji cha bahari kuwa barafu nchani.
Mstari 17:
==Siasa za tako la bara==
Kisiasa tako la bara limekuwa muhimu katika ushindi kati ya mataifa. Hapo nchi zimeanza kudai ya kuwa tako la bara mbele ya mwambao wao ni eneo lao chini ya maji. Kwa mfano katika fitina kati ya [[China]] na [[Japani]] kuhusu [[Visiwa vya Senkaku]] China yadokeza ya kuwa visiwa viko kwenye tako la bara linaloelekea kutoka China bara.
 
 
{{mbegu-sayansi}}
[[Category:jiografia]]
 
[[Jamii:Jiografia]]
[[br:Plateiz kevandirel]]
 
[[bg:Континентален шелф]]
[[br:Plateiz kevandirel]]
[[ca:Plataforma continental]]
[[da:Kontinentalsokkel]]
[[de:Schelf]]
[[et:Mandrilava]]
[[en:Continental shelf]]
[[es:Plataforma continental]]
[[et:Mandrilava]]
[[fi:Mannerjalusta]]
[[fr:Plateau continental (géophysique)]]
[[he:מדף יבשתי]]
[[is:Landgrunn]]
[[it:Piattaforma Continentale]]
[[heja:מדף יבשתי大陸棚]]
[[lt:Šelfas]]
[[nl:Continentaal plat]]
[[ja:大陸棚]]
[[no:Kontinentalsokkel]]
[[nn:Kontinentalsokkel]]
[[no:Kontinentalsokkel]]
[[pl:Szelf kontynentalny]]
[[pt:Plataforma continental]]
Line 44 ⟶ 45:
[[ru:Шельф]]
[[sl:Kontinentalna polica]]
[[fi:Mannerjalusta]]
[[sv:Kontinentalsockel]]
[[vi:Thềm lục địa]]
[[uk:Шельф]]
[[vi:Thềm lục địa]]
[[zh:大陆架]]