Tropiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ht:Twopik
d cat -> jamii, replaced: [Category: → [Jamii: (2) using AWB
Mstari 1:
[[Image:World map torrid.svg|thumb|300px|Kanda ya tropiki duniani]]
 
[['''Tropiki]]''' ni kanda la dunia lililopo pande zote mbili za ikweta kati ya [[latitudo]] za 23.5° za kaskazini na za kusini.
 
Ni kanda la joto duniani. Hapa [[jua]] linafikia mahali pa juu kabisa angani hivyo kanda hili linapokea mwanga na joto zaidi. Katika maeneo kusini na kaskazini yake jua halifiki kamwe juu kabisa.
 
Pia hakuna tofauti kubwa katika muda wa mchana na usiku jinsi ilivyo nje ya tropiki kuelekea nchani. Hii ni pia sababu ya kwamba nchi za tropiki hazijui [[majira]] kama maeneo yenye joto ya wastani au maeneo karibu na ncha za dunia.
 
 
{{mbegu-jio}}
 
[[Category:Jiografia]]
[[CategoryJamii:MetorolojiaJiografia]]
[[Jamii:Metorolojia]]
 
[[ang:Wearm belt]]