Asenia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ms:Arsenik
d roboti Nyongeza: koi:Мышьяк; cosmetic changes
Mstari 11:
| densiti husianifu = 1.9 hadi 5.72 kufuatana na alotropia zake
| kiwango cha kuyeyuka= 1090  [[K]] (817 ° [[°C]])
| kiwango cha kuchemka= 887  [[K]] (614 °C) ([[mvukemango]])
| kiwango utatu =
| % ganda dunia = 6 · 10<sup>-4</sup> %
Mstari 20:
'''Asenia''' (pia: '''arseniki''', '''aseniki'''; kutoka [[kigiriki]] αρσενικόν "arsenikon" iliyotaja kampaundi ya elementi) ni nusumetali au [[metaloidi]] yenye [[namba atomia]] 33 katika [[mfumo radidia]]. [[Uzani atomia]] ni 74.9216.
== Tabia ==
Asenia ina tabia ya [[alotropia]] kwa hiyo kuna maumbo na rangi mbalimbali. Kuna hasa maumbo yenye rangi za kijivu, nyeusi, njano na kahawia. Asenia ya kijivu ina fuwele na tabia za kimetali. Asenia nyeusi hupatikana kwa umbo hobela kama kioo.
 
Asenia ni sumu kali kwa binadamu.
 
== Matumizi ==
Kampaundi za asenia hutumiwa kama madawa katika tiba ya watu lakini pia madawa ya kuua wadudu. Madawa yaliwahu kuleta hasara ya kiafya hata kuua watu.
* Mwaka 1900 walikufa watu 70 mjini Manchester ([[Uingereza]]) kwa sababu kiwanja cha bia kilitumia nafaka iliyowahi kutiwa madawa ya asenia kwa kuua wadudu.
* katika karne ya 20 bao za ujenzi zitiliwa mara nyingi dawa la asenia kwa kuzuia wadudu. Bao hazikuwa na hasara lakini imeonekana baadaye ya kwamba majivu ya ubao huu kama ulichomwa motoni yalikuwa hatari sana; gramu 20 za majivu ya ubao huo zikatosha kumwua mtu; maafa yalitokea baada ya watoto kuecheza kwenye majivu au wanyama kulamba maji karibu na mahali pa moto baada ya mvua.
 
Asenia ikichanganywa na [[risasi (metali)]] (plumbi) husaidia katika kutengenezwa kwa beteri za gari ikiboresha umwagaji wa plumbi kiwandani.
Mstari 34:
{{mbegu-kemia}}
 
[[CategoryJamii:Elementi]]
[[CategoryJamii:metaloidiMetaloidi]]
 
{{Link FA|de}}
Mstari 81:
[[jv:Arsenik]]
[[ko:비소]]
[[koi:Мышьяк]]
[[kv:Еджыд из]]
[[la:Arsenicum]]