Bombomu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: io:Mitralioso
d ainisha {{mbegu}} using AWB
Mstari 5:
[[Picha:M60closeup2002.jpg|thumb|Bombomu nzito kwenye manowari]]
 
[['''Bombomu]]''' (au: '''bunduki ya mtombo'''; '''bunduki ya rashasha''') ni [[silaha ya moto]] kubwa kiasi inayofyatulia [[risasi]] nyingi za mfululizo muda wote kiwashio cha silaha inashikwa hadi akiba ya ramia imekwisha.
 
Akiba ya [[ramia]] iko ama katika chemba yake au ramia zimepangwa katika ukanda unaopita kwenye bombomu. Bombomu ndogu hubebewa na askari mmoja lakini modeli nzito kiasi huhitaji watu wawili hadi watatu.
Mstari 19:
Bombomu nyingi zilifuata muundo wa [[Maxim]] iliyopatikana tangu 1885 iliyotumia nishati ya marejeo nyuma baada ya kila pigo kuondoa ganda la ramia na kuweka ramia mpya katika silaha. Ilikuwa na kasiba moja tu. Ramia zilipangwa kwa ukanda uliopita katika silaha. Silaha ya Maxim ilikuwa ilikuwa bombomuy a kwanza iliyofaulu kijeshi ikawa chombo muhimu katika upanuzi wa kikoloni wa mataifa ya Ulaya huko Afrika na Asia pasipokuwa na teknolojia hiyo. Wakati wa [[vita ya Matebele]] nchini [[Zimbabwe]] 1893-1894 kikosi cha Waingereza 50 kilishinda askari 5,000 Wamatabele kwa kutumia bombomu za Maxim 4. Mshairi Mwingereza Hilaire Belloc alitunga shairi kuhusu vita za kikoloni akisema:
:::"Whatever happens, we have got
:::The Maxim gun, and they have not"
 
=== Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia ===
Mstari 42:
Teknolojia ya vita ya wakati ujao utaona mabadiliko zaidi. Mitambo kama miwani ya kuona usiku inaonyesha bombomu haraka kutokana na joto la kasiba. Hadi sasa ni nchi chache zinazotumia mitambo hii lakini kadiri inavyosambaa silaha inayong'aa kwenye mitambo hii itakuwa hasara.
 
{{stubmbegu-sayansi}}
{{commonscat|Machine guns|Bombomu}}